robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
acha kabisa, silaha za JF ni habari nyingine.Kuna mwamba humu alitabiri haya mabadiliko 🫡🫡
Samia anaenda taratibu, hataki kwenda head firstBoss anawalea wale kuliko mtoto wake ambae amepandishwa Cheo na kuwa Waziri kamili?
Sio Rais kushindana na Rais hapa Tanzania,Ili ushindane nae uwe na watu kwenye system (TISS) kinyume chake ni kujifariji tuu.CCM ina makundi ya Wazi, we don't know Mwigulu yuko wapi.
Haya Makundi yakiungana dhidi ya Samia hatoboi, ndio maana anaenda taratibu
Anasoma Upepo mdogo mdogo ila Ila Ikulu kaisafisha kweli kweli.Samia anaenda taratibu, hataki kwenda head first
Mama anaandaa anguko lake mapema. Anawaondoa wenye chama na magwiji wa fitina??Duh....till Nov 2025...
Let's pay attention
Mama anamuogopa Mwigulu.
JidanganyeKwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Hawezi kuwamaliza.Sio Rais kushindana na Rais hapa Tanzania,Ili ushindane nae uwe na watu kwenye system (TISS) kinyume chake ni kujifariji tuu.
Angalia kwenye uteuzi hapo ameondoa waofisa wengine waliokuwepo ikulu.
Ajabu simjui hata waziri wa mambo ya ndani, siasa za huyu maza hazichangamshi enzi za JPM tulijua karibia viongozi kwa majina yao kuanzia ngazi ya chiniWanyumbani si rahisi kutolewa kivyepesi namna hii
Hizo Fitna ndio hataki...Mama anaandaa anguko lake mapema. Anawaondoa wenye chama na magwiji wa fitina??
Hakuna wa kumtikisa mama, kama walishindwa mwanzoni pale saizi ndio wataweza? Wathubutu waone kama hawajafirisika.Mama anaandaa anguko lake mapema. Anawaondoa wenye chama na magwiji wa fitina??
Samia is not such strongMwigulu analogea wapi 🤬🤬
huko unakoelekea sio kuzuri. rudisha usukaniNape na hyo jamaa wa Iramba anatakiwa afariki tusimuone kabisa..ameharibu hii nchi