Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
kwa hiyo wachagga hakuna mwenye sifa,mbona hateui huku?Hivi nyie kila uteuzi mnauliza kanda,nyie ni makabila cjawahi ona huenda nikarudi kijijini kuongea na watanzania wenzangu wasio kuwa na ushamba wa kutumia smart phone badala ya kutumia smart phone kufuatilia mambo ya msingi! kwani msukuma kama anasifa za kuteuliwa rais asiteuliwe? Geukeni mawe basi ili tujengee misingi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu!!!
....What's is your point? Si ungefafanua sasa? Umeishia kulalama tuu.Acha ujinga kama kitu hukujui kaa kimya sio kila jambo ni kushabikia tu.Hujui hata seniority za jeshi la polisi na wananchi are incomparable
Mkuu wa mkoa wa Tabora sio mchagga?mm mwenyewe ni mchagga lkn namkubali Magufuli sanakwa hiyo wachagga hakuna mwenye sifa,mbona hateui huku?
Vip pale wazir ana batchelor or masters then naibu wazir Professor?Hii kiprotokali na hierarchy ya vyeo vya kijeshi imekaaje tena?
Brigedia General kuwa chini ya Commissioner of Police?
Sielewi!!
kwenye taasisi ya upelelezi hauhitaji ujasusi, unahitaji knowledge ya upelelezi wa makosa ya jinai wa kitaaluma. sio ujasusi wa kijeshi, hapo takukuru kuna hadi waalumu, wanachunguza waalimu, wahasibu, wanachunguza wahasibu, wachunguzi wapo wa aina nyingi, hivyo ni taasisi isiyohitaji mtu anayetumia manguvu (jeshi) bali ujuzi wa akili kumkichwa, unaijua takukuru lakini? ndo maana wanafanya kazi hata luck up ya kuweka mahabusu wanaowakamata hawana, ni kwasababu ni taasisi inayotakiwa kutumia akili sio nguvu. upo hapo?Tafuta basi cv yake uone ilivyosheheni ujajusi halafu upige kelele.Hela yetu ilopigwa na mafisadi ikafichwa nje lazima irudi yote
sasa unamwondoaje kamanda wa jeshi toka kuongoza wanajeshi ukamleta huku kuongoza raia wasiojua hata kushika bunduki? (zaidi ya vibastola wasivyojua kutumia)? huoni wastage of resources? kwanza ni kumdharau huyo mwanajeshi. yeye hajafunzwa kuongoza raia, amefunzwa kuongoza wanajeshi wenzie. ni sawa na kumwondoa profesa wa chuo aache kufundisha watoto wetu ili akawe kiongozi....kama wangekuwa na utofauti wowote Muhongo asingetolewa kwasababu kati ya maprof hao muhongo ndio ana akili kuliko wote na alikuwa anafundisha chuo bora kuliko wote (University of Pretoria) kabla hajateuliwa na jk, lakini hola...wale wasio hata na masters wamemzidi utendaji.
umesoma wasifu wake?au kumuona mwanajeshi tu basi umeona atatumia nguvu?hujui kama jeshini kuna wapelelezi?wahasibu,walimu na hata madaktari bingwa?aliekwambia jeshini hawatumii akili ni nani wewe Tanapakwenye taasisi ya upelelezi hauhitaji ujasusi, unahitaji knowledge ya upelelezi wa makosa ya jinai wa kitaaluma. sio ujasusi wa kijeshi, hapo takukuru kuna hadi waalumu, wanachunguza waalimu, wahasibu, wanachunguza wahasibu, wachunguzi wapo wa aina nyingi, hivyo ni taasisi isiyohitaji mtu anayetumia manguvu (jeshi) bali ujuzi wa akili kumkichwa, unaijua takukuru lakini? ndo maana wanafanya kazi hata luck up ya kuweka mahabusu wanaowakamata hawana, ni kwasababu ni taasisi inayotakiwa kutumia akili sio nguvu. upo hapo?
Takukuru haipo chini ya polisi...Yaani Brigedia General anakwenda kuwa chini ya Polisi?
Safi Sana,
Bado Waziri wa Nishati.....
Utabiri wangu atamthibitisha home boy
upelelezi wa mwanajeshi utalinganisha na upelelezi wa polisi? una akili wewe, unajua unachoongea? upelelezi wa makosa ya jinai unaotakiwa kulenga uendeshaji wa makosa ya jinai utalinganisha na upelelezi wa nchi/mwanajeshi?....hivyo chukua mpelelezi wa mwanajeshi yeyote akutajie kifungu chochote cha kwenye Penal Code Cap.16 ataeleza vizuri, na unajua mtu anapopeleleza anatakiwa kuwa na knowledge ya hayo makitu? na polisi ndio wanaoweza. anajua walau taratibu za uendeshaji wa mashitaka huyo, kipi kianze kipi kifuatwe, kipi kikusanywe kipi kisikusanywe, mtu gani ahojiwe na mtu gani asihojiwe, mtu gani awe shahidi na mtu gani awe mshitakiwa? we upo kada gani mkuu?umesoma wasifu wake?au kumuona mwanajeshi tu basi umeona atatumia nguvu?hujui kama jeshini kuna wapelelezi?wahasibu,walimu na hata madaktari bingwa?aliekwambia jeshini hawatumii akili ni nani wewe Tanapa
Takukuru haipo chini ya polisi, yule atakayekuwa juu yake haujui kuwa ni polisi? kumbe haujui hata kinachojadiliwa hapa?Takukuru haipo chini ya polisi...
Acha ujinga kama kitu hukujui kaa kimya sio kila jambo ni kushabikia tu.Hujui hata seniority za jeshi la polisi na wananchi are incomparable
Naona tatizo lako ni kwa nini kateuliwa mwanajeshi,hutaki kujikita kwenye wasifu wake pamoja na muundo mzima wa Takukuru.upelelezi wa mwanajeshi utalinganisha na upelelezi wa polisi? una akili wewe, unajua unachoongea? upelelezi wa makosa ya jinai unaotakiwa kulenga uendeshaji wa makosa ya jinai utalinganisha na upelelezi wa nchi/mwanajeshi?....hivyo chukua mpelelezi wa mwanajeshi yeyote akutajie kifungu chochote cha kwenye Penal Code Cap.16 ataeleza vizuri, na unajua mtu anapopeleleza anatakiwa kuwa na knowledge ya hayo makitu? na polisi ndio wanaoweza. anajua walau taratibu za uendeshaji wa mashitaka huyo, kipi kianze kipi kifuatwe, kipi kikusanywe kipi kisikusanywe, mtu gani ahojiwe na mtu gani asihojiwe, mtu gani awe shahidi na mtu gani awe mshitakiwa? we upo kada gani mkuu?
Acha uongo wewe Brigedia ampigii salute hata IGP kawadanganye mafisi huko,unajua cheo cha Brigedia wewe ukubwa wake