Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

Naamini hawa hawapo kwenye lile kundi
 
Naona familia ya Kolimba imekumbukwa
Hivi vitu na hizi nafasi ndo vimewafanya vijana wetu wanapoteza network wakishinda mitandaoni kutetea madudu wakiamini ipo siku watakumbukwa.

kama taifa tupambane tutafute suluhisho la ajira kwa vijana wetu. Tunapoteza vijana kwa kuamini kwamba salama yao iko kwenye teuzi. Kitu ambacho si kweli.
 
Kumbe nafasi ya Sophia Mjema ilikuwa bado haijazibwa Arusha.
 
Vijana wengi humu ni CCM na CHADEMA ,HAYA TUSEME CCM WANASAKA UTEUZI KAMA ULIVYOSEMA ,


VIPI KUHUSU CHADEMA NAVYAMA VINGINE?

#FIKIRI TENA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…