Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

Majina yale yale (Horace Kolimba). Hongera! Wakongwe mmenielewa.
Huyu Dadi ni mtoto wa Horace, Huyu Horace kolimba ni nani ? Jina sio geni?
NB:keki ya taifa inaliwa na wachache. Halafu watu maarufu wengi kwa Nini ni ccm? Wanajificha Nini?
 
Wao wanaita connection. Kama hauna hiyo Bongo, utakufa tu hivyo hivyo. Ndio maana mimi nikaamua kujikita kwenye NGOs. Akili na ujuzi wako tu vinahitajika.
Kabla ya uteuzi, Dadi alikuwa mtoto wa marehemu Horace Kolimba. Ipo siku tutasikia mtoto wa Mukama, Bashiru n.k
 
Mambo mengine ni upuuxi Na ubatili mtupu. Oooh ondoa sukuma gang oooh wanamuhujumu ohhh shit. Hiyo ndo kazi yake sisi wapumbavu Ndo tunajifanya wajuaji wa mambo that’s stupidity. Hakuna urais rojooo hata alete watu toka wapi wezi hawakosekani. Chadema wenyewe wanaibiana ruzuku. Act wazalendo ndo hovyo kabsaa.

So let’s shut our mouths Na tumuache mheshimiwa rais atimize wajibu wake. Urais siyo lelemama Na hajalazimishwa.
 
Kabla ya uteuzi, Dadi alikuwa mtoto wa marehemu Horace Kolimba. Ipo siku tutasikia mtoto wa Mukama, Bashiru n.k
Mkuu ndiyo hivyo ni connection hiyo hiyo inakufanya uende mahakamani kila siku kuwa karibu na Mwamba- omba tu akipata gurudumu la kikazi chako nalo litaanza kuzunguka
 
Dah, nina wivu hakika. Katika ukoo wangu hatuna mtu aliyewahiteukiwa popote ktk chi hii.
Huyu Dadi namfahamu sana. Ni mtu mwema sana
 
Uyo mama kafanya uteuzi mara nyingi kuliko kumaliza miradi iliyoachwa na mwenzio bado kumtoa waziri Mkuu tu
 
kwanini viongozi wanaochaguliwa karibu wote baba zaowalikuwa viongozi au mama zao hivi hakuna viongozi wazuri waliomaliza chuo watoto wa masikini
 
Back
Top Bottom