Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

Huyu Dadi ni mtoto wa Horace, Huyu Horace kolimba ni nani ? Jina sio geni?
NB:keki ya taifa inaliwa na wachache. Halafu watu maarufu wengi kwa Nini ni ccm? Wanajificha Nini?
Umezaliwa mwaka gani??
 
Ukweli mtupu. Lakini je watakuelewa?
 
Udc ni Kama uhousegirl siku hizi hata watu wa bongo movie kama mchopanga wanateuliwa
 
Naona familia ya Kolimba imekumbukwa
Niliwahi kuweka Post humu ikisema viongozi wa CCM hawafi milele, Post ilijikita kwenye watoto, wajukuu na vitukuu kurithishwa madaraka ndani ya chama na serikali, hali ndiyo hii mnayoiona.
 
kwanini viongozi wanaochaguliwa karibu wote baba zaowalikuwa viongozi au mama zao hivi hakuna viongozi wazuri waliomaliza chuo watoto wa masikini
Sabaya na Makonda je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…