mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe si umeamua kujiajiri lakini[emoji23]Uyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Huyu aliteuliwa na Samia mwaka jana kwenye hiyo idara. Magufuli alikua amemtapika mazima.Uyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza kwa sababu hawataleta mapya, ni mwendo wa kizamani urefu wa kamba kwa pamoja tu.
Sefue tena ! Vijana kama hamkupata zile hela za Halmashauri basi labda nyie ni Wakenya .Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Si mnasema kujiajiri ndio dili acheni watu waajiriwe.Uyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa wenye wivu mjinyonge.Huyu aliteuliwa na Samia mwaka jana kwenye hiyo idara. Magufuli alikua amemtapika mazima.
Jiwe alimtumbua mazimaUyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app