Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.

Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.

Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.

Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
 
Uyu Dr. Irene issaka,

SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.

Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.

Hii nchi hii[emoji848]


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu aliteuliwa na Samia mwaka jana kwenye hiyo idara. Magufuli alikua amemtapika mazima.
 
Uyu Dr. Irene issaka,

SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.

Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.

Hii nchi hii[emoji848]


Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa naelewa why hii nchi tunafeli, huyu mtu alikua reject kabisa ila anazunguka tatizo ni yule mzee wa…aliyemleta!
 
Mukandala si ndio Mwenyekiti wa lile genge lao lililoambiwa lihalalishe haramu ya kutunyima Katiba mpya mpaka hapo Hangaya atakapofanikiwa kuwa Rais 2025!! Sasa wanamuhonga cheo yule muhaya mamluki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…