Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

Kikwete mjanja sana, naona wakina Eliakim Maswi hatimae wamekumbukwa.

Kweli Mama na JK ni kama chupi na matako.
 
Hivi mkeka wa ma-DAS mpaka leo hujatoka au show iliisha kimya kimya?
 
Maswi ana hekalu lake Gmboto anaficha mihela interns of dollar hii Nchi hii kweli kamba ya mbuzi Ina yake
 

Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani​


View attachment 2232380View attachment 2232381

Kabla ya uteuzi huu,Eliachim Maswi alikuwa Anafanya kazi gani na wapi? Kuna uwezekano mkubwa ametokea mtaani na kupewa uteuzi .​

Katika kumbukumbu Za watanzania wengi huyu mtu aliisumbua sana serikali kwa wizi na udanganyifu mkubwa.​

Leo amelambishwa tena asali.​

 
Hivi CCM mnateua wazee mnataka mashirika yaje yakave hela za matanga,

Mbona kuna vijana wengi wanaweza kuteuliwa tuu. Hao waacheni wamalizie uzee wao
 

Uteuzi: JK afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani​

 
Kama una ushahidi Kamshtaki polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…