Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
KwakweliNchi inaliwa na wenye meno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliNchi inaliwa na wenye meno.
Nafasi ipi unatarajiaMuda si mrefu nami nateuliwa. Nitawajuza.
Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Bora ya hawa wanakula tunasikia wakitafuna . kuliko sukuma gang walikuwa wanakula bila kutafuna wanakula kimya kimya then wanafuta midomo .Nchi inaliwa na wenye meno.
Na KatambiVIJANA wote ni.kama Makonda na Sabaya Mnalewa HARAKA MADARAKA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Nimeumia sana bila KUMUONA PASKAL MAYALA....Mpiga ZUMARI....🤣😅😄😃Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Kikwete mjanja sana, naona wakina Eliakim Maswi hatimae wamekumbukwa.
Kweli Mama na JK ni kama chupi na matako.
Hii nchi bila kupasuana hamna cha maana tutakacho achieve. Its high time CCM must be dethroned!
Hizi ni dharau za wazi wazi kabisa, ni sawa na kibaka mzoefu anayevunja na kuiba TV za majirani kutolewa mahabusu na kupewa uwenyekiti wa kijiji sababu tu baba yake ana cheo CCM.
Kama hii ndio tafsiri ya kulamba asali tumefikia hatua mbaya kama taifa. Huu usukule inabidi ufike mwisho.
Umejuaje mkuu? Kama una ushahidi Kamshtaki polisi ili achukuliwe hatuaMaswi ana hekalu lake Gmboto anaficha mihela interns of dollar hii Nchi hii kweli kamba ya mbuzi Ina yake
Kama una ushahidi Kamshtaki polisiEliachim Maswi ni mwizi wa Mali Za Umma tangu awali
Kama una ushahidi Kamshtaki polisiKabla ya uteuzi huu,Eliachim Maswi alikuwa Anafanya kazi gani na wapi? Kuna uwezekano mkubwa ametokea mtaani na kupewa uteuzi .
Katika kumbukumbu Za watanzania wengi huyu mtu aliisumbua sana serikali kwa wizi na udanganyifu mkubwa.
Leo amelambishwa tena asali.
uteuzi c tatizo ila tatizo watu walewale wanarudia.Je hakuna watu wapya wenye uwezo?Au kuna sifa za ziada na zakipekee ili uteuliwe?Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381