Sio kila kitu Cha kupinga tu vingine unatakiwa ujipe muda kuvijua ili kujiridhisha uliyoambiwa au unayoyahisi tu.Hivi ni maadili gani tume hii inashughulikia?
1. Ni haya ya kupambana na ndoa za jinsia moja, ushoga na usagaji au;
2. Ni tabia nzuri na uzalendo wa nchi.
Kama ni tabia na uzalendo kwa viongozi wetu basi ifutwe mara moja kwa sababu hakuna inachofanya zaidi ya kuwalinda viongozi wezi na mafisadi.
Ona namna viongozi wanavyohujumu uchumi wa nchi, wanavyoiba rasilimali za umma na kujineemesha.
Tume hii ni ya kutafutiana ulaji tu haifai kuendelea kuwepo!
Aliyeteuliwa ana maadili gani ya kuigwa kiasi anapewa nafasi huo ni ulaji kama nafasi zingine hawezi kuleta maadili huyoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023.
Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa ambaye amemaliza muda wake.
View attachment 2602380
Usiwe zumbukuku! Siyo kila kitu cha kushangilia kama mwehu!Sio kila kitu Cha kupinga tu vingine unatakiwa ujipe muda kuvijua ili kujiridhisha uliyoambiwa au unayoyahisi tu.
Mifumo yote ya kitaasisi Tanzania haina mamlaka ya kuhukumu ila ikiemda mbali ni kushtaki tu. Ni mahakama yenye mamlaka hayo na mahakama hahikumu kwa utashi binafsi kama unavyofikiri ila kwa kufuata taratibu na Sheria.
Kwa utashi binafsi unaweza kuona mifumo haifanyi kazi kwa kuwa kuna kautaratibu umekajenga akili mwako Cha kutaka mifumo ifanye kazi unavyotaka au kufikiri