The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.Naona Mchechu karudishwa kwenye kiti chake 🐒
Kibali cha kukopa? Ama ni kibali cha kukopesha?Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
NHC walipewa kibali cha kukopa Bilioni 175 ili kumalizia miradi yake 2 moja ya Kawe na ya pili ya Morocco.Kibali cha kukopa? Ama ni kibali cha kukopesha?
Shule ya Uongozi in NyasalandNaona Mchechu karudishwa kwenye kiti chake, Polepole naona kapigwa spidi gavana 🐒
Kama alivyomalizwa Silaapolepole hahahaha Malawi! akakatae wahuni mbele huko
niliendaga lilongwe mwaka fulani hadi ubalozi wa Tanzania ,kiufupi wamemfunga midomoHizo ni salam tu tunamtumia jiwe huko aliko ktk kuadhimisha mwaka mmoja tangu ateuliwe kuwa mkuu wa malaika.
Pole pole anatakiwa kwenda kupigwa vumbi hapo porini Malawi apambane na wahuni wanaotaka mpaka uwe mwisho wa ziwa Nyasa. Haruhusiwi kutia mguu bongo bila ruhusa ya mama.
Nauliza nani mwingine anajifanya kidume wa legacy tumnyooshe?
Sasa ndio mjue kuwa huu sio utawala wa Samia bali mjomba wa Msoga!! Wale wote aliyofanya nao ufisadi wanarudishwa kama njia ya kumdhalilisha Jiwe!! Tungoje na Mattaka kurudi ATCL!!Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
huyu jiwe alimtumbua kuwa hafai pamoja na kina makamba leo ni mzuri ? au ndo kujuana na umimi.Mchechu ateuliwa kuwa mkuu wa NHCView attachment 2150379