Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rimoti ya msonga inafanya kazi sanaMchechu ateuliwa kuwa mkuu wa NHCView attachment 2150379
Keki ni kubwa sana ila inabidi uwe na meno imara ili uweze kuitafunaNaona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Kibali Cha kukopa bil 300 kwenye commercial banks, ili kumalizia ili kumalizia Morocco squareKibali cha kukopa? Ama ni kibali cha kukopesha?
Nauuona mradi wa Safari City Arusha ukirejea kwa kasi. Nijiandae kwenda kukagua ploti yangu.Duuh hatimae karudi kule kule, ngoja nami nivute subira huenda file langu litapitiwa muda wowote
Ni kweli kabisa kwani niliwahi kufanyakazi naye Tasisi binafsi ni mtu mzuri kiutendaji.Kesho huko NHC kutafanyika bonge la Party maaana Mchechu ni Kipenzi cha Wafanyakazi kwa jinsi anavyojali maslahi yao .
Banyani nae alikuwa jembe sana pia
Dr Dau amrudishe Nssf ili Fao la kujitoa lipate majibu yy aliweza kwani anaweza kumsaidia Mama kuondoa huu mtanziko uliopo kwa sasaSafi sana Samia. Tunahitaji big brains kuendesha taasisi nyeti.
Bado Dr Ramadhani Dau arudi kuendesha Bandari au NSSF au TRA
Hakuna neno linahudhi kama hilo. Wenye nchi yao....ina maana wanatumiliki ata sisi? Kama ni hiyo Mungu apishie mbali kabisa'...Wenye nchi hao.
NHC walipewa kibali cha kukopa Bilioni 175 ili kumalizia miradi yake 2 moja ya Kawe na ya pili ya Morocco.
Wahuni wanarudi nchi imekwisha!Safi sana Samia. Tunahitaji big brains kuendesha taasisi nyeti.
Bado Dr Ramadhani Dau arudi kuendesha Bandari au NSSF au TRA