Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Aisee yaani . . . . .Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.