Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

Keki ni kubwa sana ila inabidi uwe na meno imara ili uweze kuitafuna
 
Kesho huko NHC kutafanyika bonge la Party maaana Mchechu ni Kipenzi cha Wafanyakazi kwa jinsi anavyojali maslahi yao .
Banyani nae alikuwa jembe sana pia
Ni kweli kabisa kwani niliwahi kufanyakazi naye Tasisi binafsi ni mtu mzuri kiutendaji.
Yaani hii team Mchechu, Laurance Mafuru, Maharage Chande, Sabasaba Moshingi, Gratis Sakaya, Herald Mutalemwa, Ruth Zaipuna, Davis Mkony , Allelio Lowassa na Herry Boman hawa watu sí mchezo kwa utendaji.
 
tuseme ukweli,baada ya Mchechu kuondolewa NHC shirika lilijifia zake
 
Jamaa aliondolewa'ga' kwasababu tu ni smart na mtawala yule alikuwa hapendi kuwa outsmarted.To be fair alifanya Kazi nzuri na anastahili kurejeshwa
 
Bado Lawrence Mafuru Genious wa Wakati woote apewe shavu pale BOT au PSSSF au TIB akimbize maisha na ufanisi wa kazi.
 
MTU akisha staafu urais Basi atulie nyumbani acheze na wajukuu.
Vile vile mtu akistaafu ukurugenzi Basi naye atulie nchi Ina wasomi wengi ambao hawajatest mettle zao.
 
Mchechu ni Mkinga kaenda kutoa chozi uko Makete milimani naona chozi lake limejibu, anaenda kufuta vumbi kwenye kiti chake sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…