Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

Aisee yaani . . . . .
 
Huyu mama yetu kuna mtu kamshikia mpini kama ilivyo desturi ya wanawake wote duniani. Mwanamke hawezi ongoza nyumba tuache masikhara.
 
Umesahau Amina Kassimu enzi zake LAPF ilikuwa powerful na mkombozi wa watumishi wa private sector
 
Sasa ndio mjue kuwa huu sio utawala wa Samia bali mjomba wa Msoga!! Wale wote aliyofanya nao ufisadi wanarudishwa kama njia ya kumdhalilisha Jiwe!! Tungoje na Mattaka kurudi ATCL!!
Umesema yote. Msoga's regime.
 
NHC kitu gani? watu binafsi wana uwezo kujenga shirika kubwa kuliko NHC, mahitaji ya nyumba bongo ni makubwa kuliko mahitaji, tuamke sasa kuna fursa za kutosha bongo kuliko hizi teuzi za kisiasa
 
Sasa ndio mjue kuwa huu sio utawala wa Samia bali mjomba wa Msoga!! Wale wote aliyofanya nao ufisadi wanarudishwa kama njia ya kumdhalilisha Jiwe!! Tungoje na Mattaka kurudi ATCL!!
Mattaka umri unamkataa, ana miaka 70 tayari.
 
Mattaka umri unamkataa, ana miaka 70 tayari.
Anaweza kuwa Mwenyekiti wa board!
Unajua Mwenyekiti wa board ya TANESCO ana umri gani?
Akitaka Mjomba wa Msoga atakuwa tu!!
 
Usilete sifa za uongo . Huyo Herry Bomani si alifukuzwa Kenya Commercial Bank? Unazijua sababu zilifanya akafukuzwa? Mtendaji mzuri hafukuzwi kazi.
 
Maharage Chande ? Huyu wa TANESCO ya kukatika umeme ?
 
Nehemia Mchechu alifanya kazi yake vizuri sana alipo kuwa kwenye nafasi yake hii hapo awali lkn inaonekana kuna mahali alikosea hivyo anapaswa awe makini sana kuepuka makosa aliyo yafanya na kupelekea kutoaminika na kuondolewa.

Haswa ubadhirifu wa fedha za shirika, ufujaji na upendeleo.
watanzania hawapendi kusikia vitu hivi hata kidogo.
Hongera kwake na pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…