UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

Congratulations brother kikubwa tu kumbuka ahadi zako pia muamini Mungu utafika mbali. Osionee uliyemzidi bali waheshimu wote nimeandika haya kwasababu najua direct utayaona penda nchi yako.
 
Hukusikia kwenye Bunge, hata Tulia alivyoingilia issues za wizara yake? kuna namna ya ku deal na issues za waziri Sio kumfedhehesha public.
Japo Mhimili wa Bunge uliingilia Mhimili wa Serikali kwenye issue ya waalimu waliosimamishwa kazi kisa watoto kucheza wombo wa Zuchu, kiukweli Prof Mkenda alichemka.
 
Haya sasa naona walewale wasiotakiwa na wale jamaa ndiyo wanakula shavu!
 
 
Futeni kabila moja tujue moja. Aliyesema huyu ni mnyamwezi na huyu ni Musukuma hakukosea
Nadhani ungeenda kwenye root wanyamwezi, wanyantunzu na wasukuma majina hayo
Yalitokea wapi ndio ungeelewa.
Matter of fact hizo ni direction za pande za dunia kama ilivyo east, west, south & north.
Ambazo walizitumia kujitambulisha wanapotokea wanapokutana miaka hiyo hakuna mwanza, hakuna tabora hakuna shinyanga. Kutokana na utofauti wa mazingira waliyo kaa lugha yao ikachukua misamiati mipya baadhi ikaongezeka japo wote wanasikilizana kama umesoma historia ya Kiswahili utanielewa. Utofauti wa mswahili wa Pemba, pwani na bara
Wote wanazungumza Kiswahili lakini kuna misamiati inatofautiana kulimgana na eneo.
Wote walikua kundi moja but they migrated to different directions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…