Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Mama ameanza kuchanganyikiwa, sijui ikifika 2024, panga pangua itashika hatamu
 
Kuteuliwa na Mkuu Wa Nchi kumuwakilisha kama Barozi ni heshima kubwa, inawezekana isiwe nafasi kubwa kwako lakini inaonyesha imani kubwa aliyo nayo Rais kwako...
Sema broo pole pole hajachoma sindano ya covid 19 so ataendajee kule
 
Ni Kama kilichotokea yule kher jame naye kaondolewa kamati kuu kinyemela
 
Sema broo pole pole hajachoma sindano ya covid 19 so ataendajee kule
Covid 19 was not there ndiyo maana JPM ana remain hero ktk vita hiyo ya kiuchumi ya Mabwanyenye na hata waliokufa ni kwa dhana walikufa kwa woga tu na wengine walitolewa sadaka kujustfy walichokuwa wanataka wakubwa.

Polepole aende tu kwa raha zake, ni shujaa na mbeleni wasipomkolimba anaweza kubwa kiongozi mkubwa Wa Nchi hii.
 
Reactions: Ame
Hapo kweny kuchoma covid 19 sizani kama atakubali
 
Nasubiri teuzi za ukuu wa mikoa kwa zitto, tundu na mbowe. Mama acha awatrain kwanza aone utendaji wao wa kazi kama unafaa waendelee.
 
Mbinu iliyotumika kuwapoteza lukuvi na kabudi ndio hii hii tu.

Mtu akipelekwa huko malawi sijui msumbiji huyo ndio basi tena
 
Je. Ni njia nzuri kutusahaulisha namba 1732022?
===
Hongera wateuliwa.
 
Nafikiri ni wakati sahihi hizi nafasi zitolewe matangazo ya wazi watu waombe.

Maana kwa staili hii ni kama hakuna watanzania wengine wenye sifa
 
Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Tushike lipi tuache lipi? Lakutumbuliwa ama la hakuna watanzania wengi? Nyoosha maelezo mkuu.
 
Uko anapiga kazi mwaka mmoja mama anamtumbua[emoji4]
mwaka hauishi,kwenye ubunge walikuwa wanashindwa wamtoe vipi,kumfutia uanachama waliona kama makosa yake haya sound vizuri,kwenye ubalozi anakuwa chini ya mamlaka ya Rais,akitaka anaweza akatengua uteuzi hata kesho hiyo hiyo baada ya kuapishwa
 
Anaenda kula kwa urefu wa kamba yake
 
Likizo akiomba si mpaka akubaliwe?
Hakuna mwajili anakataa kutoa likizo ya bila malipo! Tena kwa serikali nadhani itakuwa rahisi maana mbadala mfanyakazi tena balozi si wakuumuza kichwa siku hizi...kwa hiyo ikiwa vingenevyo basi kuna jambo linginelo...!!!ha ha haaa bado natania mjue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…