Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Jamaa alikuwa anajilipa pesa za kutisha huyu, mpaka Jpm aliweweseka!
 
Kama Jaka Mwambi?
 
Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia

Samia anatupeleka kule ambako KIKWETE hakutufikisha!!! Karibuni wavaa nguo za kijani mtaanza kupigwa mawe mitaani tena!!
 
Samia anatupeleka kule ambako KIKWETE hakutufikisha!!! Karibuni wavaa nguo za kijani mtaanza kupigwa mawe mitaani tena!!
Ogopa sana ukiwa Mvivu wa Kufikiri halafu akajitokeza Muhuni kutaka Kukusaidia nawe ukamkubalia lazima atakuponza na hata Kukupoteza pia.
 
JPM kichwani alikua mzito, Ndio maana madini alikua anayatupa ajachukua vilaza anaowazidi Akili mfano Polepole na Bashiru .

Mama Ni Smart
 
Hivi Malawi Si anaenda hata Kwa Boda Boda kutokea hapo kwao Njombe
 
Katiba ya Tanzania inamruhusu Rais SSH kuchagua mtu yoyote Bara au Visiwani kama ilivyomruhusu JPM.
 
Nehemiah wakati wake wakurugenzi wa NHC walikuwa wanalamba 40m........
Hiyo ndiyo ilikuwa sababu. Wakati ule kila DG su CEO akipata mshahara huo, Mkuu alikuwa anakasirika sana na akaifyeka yote. " kwa kazi gani anayofanya?" Aliuliza. As such Nehemiah is very smart upstairs.
 
Kwenye nchi hii maskini hakuna mtumishi wa umma anayepaswa kulipwa milioni 30, awe smart upstairs au downstairs.
Hiyo ndiyo ilikuwa sababu. Wakati ule kila DG su CEO akipata mshahara huo, Mkuu alikuwa anakasirika sana na akaifyeka yote. " kwa kazi gani anayofanya?" Aliuliza. As such Nehemiah is very smart upstairs.
 
Why?
Au kwa kuwa si wewe?
Kwa sababu kuna wanafunzi wengi hawana walimu wa masomo ya sayansi shuleni na raia wengi wanaosafiri mamia ya kilometa kumfuata general doctor tu.
 
Kwa sababu kuna wanafunzi wengi hawana walimu wa masomo ya sayansi shuleni na raia wengi wanaosafiri mamia ya kilometa kumfuata general doctor tu.
Ajira zilikoma wakati wa JPM! Uliwahi kumuuliza ni kwa sababu gani? Au umeambiwa mshahara hiyo ndiyo inafanya kusiwe na walimu na madaktari?
 
Samia aangalie sura mpya.
Huyo pole pole ana ubunge inatosha.
Atajigawa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…