Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unaota wakati saa hizi kumeshakucha, Polepole ndio ameshang'olewa ubunge nafasi yake kapewa Shamsi Vuai Nahodha.Samia aangalie sura mpya.
Huyo pole pole ana ubunge inatosha.
Atajigawa vipi?
Unaota wakati saa hizi kumeshakucha, Polepole ndio ameshang'olewa ubunge nafasi yake kapewa Shamsi Vuai Nahodha.
Mjengoni Polepole ndio byebye, hii inaitwa smile killing, kama mamba vile anakutafuna huku machozi yanamtoka.
Muulize Makonda kwa nini aliacha ukuu wa mkoa ili awe mbunge au ukishindwa muulize Mrisho Gambo.Sasa happy pole pole kapungukiwa Nini?au kaongezewa Nini?
Muulize Makonda kwa nini aliacha ukuu wa mkoa ili awe mbunge au ukishindwa muulize Mrisho Gambo.
Au ukiweza muulize Dr Slaa ubalozi unalipa? Halafu ubalozi wenyewe Malawi? Mshahara unatoka Dar es salaam.
Hapo ndio Polepole mwenda ameshaumaliza rasmi, 2025 anawekwa rasmi nje ya mfumo ndio atajuwa kuwa alikuwa hajui.
Akili zako ni level za Instagram kama huelewi ubunge ni bora kimaslahi na kisiasa.Haujajibu swali.
Pole pole kaongezewa Nini au kapungukiwa Nini?
Yaani kuna faida kwake au hasara kutoka ubunge Hadi ubalozi?
1.Atachanja?Haujajibu swali.
Pole pole kaongezewa Nini au kapungukiwa Nini?
Yaani kuna faida kwake au hasara kutoka ubunge Hadi ubalozi?
Akili zako ni level za Instagram kama huelewi ubunge ni bora kimaslahi na kisiasa.
Amemsogeza kwenye utumbuaji... Dah mabalozi wenywew wanapenda ubunnge kuliko kukaa huko tu bila Kazi.. hTa maslah ubunnge unamaslah makubwa. Naona kapita njia ya JPM kumtoa kwenye ubunnge kidizain.. gut ya kukataa hana Kwa kweli
Hujui siasa wewe. Nakusihi tulia.At last
Ukitaka cheo jitoe ufahamu
Ya kusifia alikuwa yuleeeee
Kaliwa ile mbaya.Bado haujajibu swali.
Weka maslahi ya mbunge na maslahi ya balozi.ili tuone Kama kala au kaliwa
ubarozi ndio nini? Paragrafu ya mwisho umeandika pigs kazi, ulimaanisha piga kazi au? Adabu itamalaki we dogo!! [emoji41]Kuteuliwa na Mkuu Wa Nchi kumuwakilisha kama Balozi ni heshima kubwa, inawezekana isiwe nafasi kubwa kwako lakini inaonyesha imani kubwa aliyo nayo Rais kwako...
Kaliwa ile mbaya.
Lamda itokee aje ateuliwa kuwa katibu kiongozi huko mbeleni.
Majengo ya nani? Wapi affordable housing kwa wananchi?Wamejenga majengo kadhaa pale dodoma
Anachungaje mbuzi kwani maisha yao hawana option nyingine zaidi ya teuzi?POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI…usiende.
Ukienda unafanyiwa kile alichofanyiwa Dr Emmanuel Nchimbi kupelekwa Brazil kuwa Balozi sasa anachunga mbuzi kule Goba Dar.
Kumbe kweli jina lako si kejeli linasadifu uhalisia wako. Kwamba hauoni touti iliyopo duu!Haujajibu swali.
Pole pole kaongezewa Nini au kapungukiwa Nini?
Yaani kuna faida kwake au hasara kutoka ubunge Hadi ubalozi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kweli ndo mnaowategemea pumzi imeshawakatia njiani.CCM tunamtengemea pole pole na Bashiru 2025
Huyu ni kijana au mzee?