Nyumba ni finishing
Member
- Jan 12, 2021
- 6
- 4
Wanapeana tu
Kwani walimchoka kuwa CDF?
Mtu hajapumzika hata mwezi mmoja!
Haijakaa poa mkuu hii bandika banduaHiyo sio full-time job!
hivi unapataje usingizi kwenye nyumba aliyojenga Mwanaume mwenzako [emoji1787][emoji1787]
Hongera sana Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuendelea kuaminiwaUTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
View attachment 2277702
Mwenye nacho ndiye huwa anaongezewa!Hii keki ya Taifa ni bora tukawa tuna share wote ,lakini kwa namna ilivyo wananufaika wachache .
Upo sawa kabisaAll the best his excellence Mabeyo, Marko 4:25
* Kwa maana aliye na kitu ataongezewa, na asiye na kitu atanyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho*
Fafanua kidgo mkuu....Naomba kujua jambo hili kwanza namkubali mama na sina nongwa na mabeyo ila!? Naomba mwenye kumjua mtu huyu. Elisifa Ngowi alikuwa RSO MOROGORO akaletwa dsm kama drso wa dar baadae akapelekwa ikulu na alipostahafu tiss inasemekana CIA walimpa contract na baadae akaibukia kwenye tanapa na ile operation iliyolalamikiwa sana wakati wa jpm alikuwa master mind beyond the curtain!!!
Unauliza kurushwa kichura kambini?Kwahiyo anabeba pensheni ya kutumikia Jeshi halafu anaendelea na kitita cha Ngorongoro?
Naombeni Muongozo
Duh!... majukumu mapyaUTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
View attachment 2277702
Wenye menyu yao watajibu