UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

Safi sana. Nina imani na Mabeyo. Kazi ya kwanza, amshauri mama amtafutie CEO makini zaidi ya Maningo. Maningo apangiwe majukumu mengine.
 
Naomba kujua jambo hili kwanza namkubali mama na sina nongwa na mabeyo ila!? Naomba mwenye kumjua mtu huyu. Elisifa Ngowi alikuwa RSO MOROGORO akaletwa dsm kama drso wa dar baadae akapelekwa ikulu na alipostahafu tiss inasemekana CIA walimpa contract na baadae akaibukia kwenye tanapa na ile operation iliyolalamikiwa sana wakati wa jpm alikuwa master mind beyond the curtain!!!
 
Fafanua kidgo mkuu....

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wa majeshi wastaafu wote walipewa kazi Kama hizo za uenyekiti wa bodi mbalimbali. Nakumbuka ni kuanzia General Robert Mboma amewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya petroli, Pia General Waitara na hata General Mwamunyange nao Kuna nyadhifa walishikilia baada ya kustaafu. Hivyo siyo jambo la ajabu.
 
Tuliambiwa kwamba bila yeye kusimama imara mama asingekuwa hapo alipo, bado kuna kulipa fadhila pia.
 
Back
Top Bottom