Ukiwa mjeda, kupumzika ni kwa ajili ya nn? Mjeda kiapo ni kupiga kazi tu popote unapoagizwa na rais. Kwanza venance mwenyewe anaona hapo kapumzika.Wanataka tuamini ule uzi kuwa wamemuondoa kwa makusudi..mtu hajapumzika hata mwezi mmoja??
Ndio maanake ,wacha waendelee kula keki ya taifa ,watanzania wengine hamna uwezo[emoji848][emoji15]Kwahiyo anabeba pensheni ya kutumikia Jeshi halafu anaendelea na kitita cha Ngorongoro?
Naombeni Muongozo
Amezungumza wakati amemteua CDF mpya kwamba tutegemee muda wowote atatoa mkekaKwani walimchoka kuwa CDF?
Mtu hajapumzika hata mwezi mmoja!
Utangoja sana. haji kufanya kazi ya ubunge hapo. Orders zimeshatoka kwa alie mteua ni utekelezaji tuHapo wamasai kazi tunayo.
Lakini kwakua Mabeyo ni mfugaji mwenzetu labda atatuelewa.
65 yrs wamemuondoa makusudi? Huo sio umri wa kustaafu?Wanataka tuamini ule uzi kuwa wamemuondoa kwa makusudi..mtu hajapumzika hata mwezi mmoja??
Mbona hii ilishathibitishwa vizuri tu na wataalamu mahiri wa Urusi, China na India kwamba siyo tena ^keki ya taifa,^ bali ni ^keki ya wateule^? Ama hukuwepo?Hii keki ya Taifa ni bora tukawa tuna share wote, lakini kwa namna ilivyo wananufaika wachache .
Huwez ukatoka pasiansi straight ukapewa uwenyekiti wa bodi ya ngororo.. hiyo ni top executive positon.Afu kuna kijana yuko anasoma chuo cha wanyama pori pale pasiansi akitegemea makubwa hapana haiwezikani
Mbona mawazo ya hela-hela yamekithiri? Hivi kwani hakuna lingine bora? Wazeni hata kurusha roketi juani, basi!Kwahiyo anabeba pensheni ya kutumikia Jeshi halafu anaendelea na kitita cha Ngorongoro?
Naombeni Muongozo
Naona mind-set yako bado inahitaji muda wa ^kumachua^ kama deni la taifa!Huwez ukatoka pasiansi straight ukapewa uwenyekiti wa bodi ya ngororo.. hiyo ni top executive positon.
Usualy wanaotoka pasians huanza kama askari wanyama pori kwanza. Huamzia chini kabisa.
Hahahaha naona bado una view za kizamani. You need new brain update.Naona mind-set yako bado inahitaji muda wa ^kumachua^ kama deni la taifa!
Baada ya Lotter kupigwa chuma sijamsikia tena huyu Mzee.Wenye menyu yao watajibu
Ndio wanaongooza kuishi maisha yasiyo na stress hapa nchini.Waswahili wa pwani , Ni Waarabu toleo la mwisho
Kaondolewa kivip wakati amefikia umri wa kustaafu ?Wanataka tuamini ule uzi kuwa wamemuondoa kwa makusudi..mtu hajapumzika hata mwezi mmoja??