UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Najua umeandika lakini Akili yako inakukataza.
 
Kuna yule jamaa nadhani ni bondia ambaye huwa kila baada ya muda anakuja na jina jipya la ngumi zake (Mandonga) mara peresu nk.

Huyo jamaa wala siyo bondia mkuuubwa hapa nchini kama matumla au mwakinyo, ila kutokana na mdomo wake anaonekana ni tishio sana.

Hapa kwa huyu ndg balozi Humphrey wala si mtu mkuuubwa ndani ya CCM na hata ushawishi wake hauonekani kuwa tishio kwa hao mnaosema 'eti' wenye ccm yao ila ni sawa na yule Mandonga.

Na tukumbuke wakati kina mwakinyo nk, wapo gym na wanapigana ngumi za kulipwa mwezao ambaye hatishi ila anakula mashavu na mikataba daily huku wao wakimponda, but maisha ndo hayasimami.

Kuna tunaomponda balozi ila upande wa pili wanamuona ni tishio and this is the same imagination to our ambassador Humphrey.
 
Na wenyewe hawakulikani.
 
Wewe hujuhi kitu kaa kimya..
CCM Ina wenyewe lakini SYSTEM INAWENYEWE PIA.

unadhani magufuli kuwa rais ilikuwa NI coincidence tu?
Haya mambo muulize mzee
Mkuchika .
 
1.Pole2 yuko Malawi lakini kila siku tunamuona Kwenye mijadal Itv,start mara Azam Tv
2. Pole2 anaonekana anapenda Sana kuonekana tz
3. Anafanya Mambo kwa sifa yake siyo rais
4.Barozi pekee aliyekagua gwaride pale Malawi wiki iliyopita, (Mpenda Kiki)
5.Anamipango mingi Sana kumpita rais, yaani usipokaa sawa wamalawi wangeinjoy Tz kuliko wa Tz wenyewe
6.Ana roho ya yshinsani dhidi ya ccm ya Leo na ile ya Jana
7.Huyu kijana ndio yule aliyeanzisha shule ya uongozi mitandaoni, ilimradi tu aishi mioyoni mwa watu
8. Huyu hakustahili kupelekwa Cuba, labda Afganstan au Iraq akafuge ndevu.
9.Anaujua Sana ushiroba wa Mtwara, kule mtwara anaitwa mzee wa "USHIROBA"
 
Kwa hiyo aliyekuwa balozi Cuba ndiye aliyeliwa kichwa
Watu wanamsema Pole Pole wanasahau kuwa Mlowola aliyekuwa Cuba hakupangiwa popote.

Hata hivyo, tabia ya kuteua kutengua na kubadili mara kwa mara haijengi ufaninisi kiutendaji. Ni kweli kuna haja ya kuwaondoa walioshindwa kazi lakini siyo hii ya dana dana ya kila baada ya wiki mbili
 
Na huo ndio ukweli mchungu !! Hata jamaa wa karibu ya Kibaigwa anaujua !! Mkuu wa Nchi hababaishwi na Ntu yeyote !!
 
Watumishi wanapoteza kujiamini katika kazi zao wakihofia uhakika wa kibarua chao,

wanashindwa kuingiza mipango ya kudumu katika kazi waliyopewa
 
Msitutoe kwenye RELI,

Awamu ya SITA imedhamiria kuifilisi Nchi na kuiacha katika madeni makubwa Kwa vizazi vijavyo.

MIKOPO na Pesa za Umma zinaibwa na viongozi Wanalalamika.

Wote wanaohujumu pesa za Umma, tauni isikauke kwao na vizazi vyao.

Hadi watakapotambua, Mungu akikupa nafasi ya uongozi, jua unamuwakilisha Mungu kuwahudumia wananchi maskini wapate kuinuliwa.
 
Aiombe serikali ya Cuba sasa wapelekwe vijana wakasomee tabibu maana wako vizuri sana huko

Kazi ya Mabalozi sio kutoa visa tu kama wengine wanavyojua

Polepole wasaidie vijana wapate ajira kubwa kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…