mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Umemuona Humphrey Tu?
Kasome kichwa cha habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuona Humphrey Tu?
Ok, basi ngoja tuendelee kunywa mchuzi minofu iko chini 😂😂Baada ya mjadala wa Ripoti ya CAG kumalizika
Malawi ampelekee mwalimu mpwayungu villageRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.
2. Amemteua Balozi Lt. Jenerali (mstaafu) Yacoub Mohamed kuiwakilisha Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE). Kabla ya uteuzi huu, Balozi Mohamed alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
3. Amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Bakari alikuwa Konseli Mkuu nchini Dubai.
Asisahau kubeba vile vilainisha vyakeMwamba ana enda kula pisi za cuba
Doto Biteko atapangiwa huko
So sadTuna katiba ya kuteua na kutengua tu. Halafu linapokuja suala la kuwashughulikia wala rushwa na mafisadi, katiba hiyo hiyo huwageuza watawala kuwa walalamikaji.
Ila polepole atafaidi cuba kuna pisi kali. Tena mabantu figure pure na mix mazuri kupita maelezo. Kwa kifupi tu chakubanga kaula .Atakuwa alikuwa anatorokea mbeya kuja chap kufanya mipango ya umoja party na kurud .. sasa mzee issue za Cuba ukafanye siasa za ujamaa huko ndio umeisha hivo🤣🤣🤣
Iwapo katiba ingekuwa huru kushughulika na mafisadi kwa viwango hivi,uchumi wetu ingekuwa unakimbizana na ule wa wa Korea hivi leo🤔Tuna katiba ya kuteua na kutengua tu. Halafu linapokuja suala la kuwashughulikia wala rushwa na mafisadi, katiba hiyo hiyo huwageuza watawala kuwa walalamikaji.
Ataenda P🤔
Na zile KY zake sio..😀Ila polepole atafaidi cuba kuna pisi kali. Tena mabantu figure pure na mix mazuri kupita maelezo. Kwa kifupi tu chakubanga kaula .
Uyu kipenyo ulimjua kabla au baada ya kupelekwa chama kama mwenezi?Movement zipi Mkuu? Polepole ni nzi tu CCM hakuwa hata na miaka 5 so Hana hiyo power mnayofikiria anayo. Kahamishwa Ili tu asipige kelele awe busy muda wote ila Sio kwamba ana uwezo wa kushawishi chaguzi za 2025.
Kama kinana, makamba, membe n.k walikua na miaka zaidi ya 40 CCM walitulizwa na JPM walipotaka kumuondoa 2020 ndio sembuse Polepole na Bashiru waliokaa 5 years pekee?? Mkuu CCM Ina wenyewe na ndio waliokamata serikali so hao kina Kabudi, Polepole na Bashiru ni wageni tu
Hahahha Bora ungesema Mangula au Ndugai ila Polepole ndio amuangushe Samia? Hahahaha huyo ni non-starter ndio maana vipindi vyake vilifungiwa na hakufurukuta. So kapewa cheo Ili hasira ziishe na sio kwamba eti atamuondoa Samia. Trust me hiyo 2025 Polepole atapanda jukwaani kumpigia kampeni Samia nchi nzima.Mbona mnaweweseka mkimsikia shujaa polepole?
Hao ndo wanamfanya raisi asilale pengineRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.
2. Amemteua Balozi Lt. Jenerali (mstaafu) Yacoub Mohamed kuiwakilisha Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE). Kabla ya uteuzi huu, Balozi Mohamed alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
3. Amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Bakari alikuwa Konseli Mkuu nchini Dubai.
Na bado, tunamsogeza China akaelezee zile Hela zilifikaje huko, China huwa wanapita na shingoWatanzania wengi wivu na majungu huwa vinalimit na ku influence aina ya kufikiria kwenu. Kwanza mlidai katupwa ka nchi kadogo Tu kaafrica. Sasa kahamishwa kwenda Cuba ningezani mngesifia kuwa bado anatambulika, Ila mnakuja na hoja za kikombe kipo nusu empty Badala ya kimejaa nusu. Msiwaze mbali sana wabongo. Maisha Kama Sio yako binafsi huwezi kuyapangia na kuyapatia.
Hivi nani kawadanganya TISS wote Wana kauli moja? Hata huko Kuna power struggles.... na sio TISS tu hata CIA au FBI Kuna kupishana strategy, uasi, usaliti, kutupwa nje ya mfumo n.k otherwise kina Marando au Mrema wasinge fall out or rather Seif asingekosana na establishment.Uyu kipenyo ulimjua kabla au baada ya kupelekwa chama kama mwenezi?
NGO kule alikuwa anazuga