UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Watanzania wengi wivu na majungu huwa vinalimit na ku influence aina ya kufikiria kwenu. Kwanza mlidai katupwa ka nchi kadogo Tu kaafrica. Sasa kahamishwa kwenda Cuba ningezani mngesifia kuwa bado anatambulika, Ila mnakuja na hoja za kikombe kipo nusu empty Badala ya kimejaa nusu. Msiwaze mbali sana wabongo. Maisha Kama Sio yako binafsi huwezi kuyapangia na kuyapatia.
Kwisha habari yake jibwa lile. Aende kwa Castro huko, na akileta za kuleta......
 
Hukohuko Cuba lazima atabuni mbinu nyingine ya kuwa karibu na Tz, kumzuia yule mwamba ni kumpeleka mbinguni kwa Mungu, otherwise you are just wasting your time. Tena Cuba ndo safi akajifunze umafia mpaka akirudi nondo kibao kwa kichwa, Umoja party hoyee!.
 
Harakati zake za kuipinga CCM na mambo yake ziliishia wapi?
Msoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.


Haya mambo hayatokei tu kimiujiza !!


Kuna watu wanalazimika kutengwa na kua nje ya Mfumo sinkwa sababu nyingine, Bali Kwa lengo kubwa liliko mbele.


Luaga Mpina, alikatwa Jina sio?. Mkapiga yowee, Mpina kakomeshwaaa ,Sasa atulieee.

Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza !!.

Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI !!.


Ndo haya ya Mh Polepole Sasa !!.
 
Hahahha Bora ungesema Mangula au Ndugai ila Polepole ndio amuangushe Samia? Hahahaha huyo ni non-starter ndio maana vipindi vyake vilifungiwa na hakufurukuta. So kapewa cheo Ili hasira ziishe na sio kwamba eti atamuondoa Samia. Trust me hiyo 2025 Polepole atapanda jukwaani kumpigia kampeni Samia nchi nzima.
Hayo ni maweweseko yenu na ngenga zenuu. Hakuna pahala alisema atamtoa madarakani. Polepole huwezi mfananisha na huu ubishi wenuuu. Polepole hakamatiki hata kidogoo Nia yenu mlijua chama Cha CCM makada watagombana, mtasubirii saanaa. CCM tuko imara na tuwamojaa, Nia yetu ni mojaa tuuuu, kuwagaragaza nyie wabishi wa maendeleo
 
Emmanuel Nchimbi alipelekwa brazil akaishia huko wakati wa joto la lowassa
 
Nia yenu mlijua chama Cha CCM makada watagombana, mtasubirii saanaa.
Acha uongo, Samia mwenyewe kasema wahafidhina mlikataa asifanye maridhiano kivipi Leo mjifanye mko united? Mlimtumia Ndugai kupima upepo mlivyopigwa za uso mkapoteana. Nasema hivi ndani ya CCM hakuna wa kumchallenge mwenyekiti akabaki salama, unless muanzishe chama otherwise mtaruka ruka tu mtaishia kuomba msamaha 2025
 
Huyo kashapotezwa kwajili ya jeuri kwa kutokuwa na uwezo wa kuishi na utawala mpya, Siasa ni sayansi, raisi mpya inabidi uende nae kwa style yake hata kama ni kumkosoa,
 
Movement zipi Mkuu? Polepole ni nzi tu CCM hakuwa hata na miaka 5 so Hana hiyo power mnayofikiria anayo. Kahamishwa Ili tu asipige kelele awe busy muda wote ila Sio kwamba ana uwezo wa kushawishi chaguzi za 2025.

Kama kinana, makamba, membe n.k walikua na miaka zaidi ya 40 CCM walitulizwa na JPM walipotaka kumuondoa 2020 ndio sembuse Polepole na Bashiru waliokaa 5 years pekee?? Mkuu CCM Ina wenyewe na ndio waliokamata serikali so hao kina Kabudi, Polepole na Bashiru ni wageni tu
Hana ushawishi. Anatukumbusha mambo ya ovyo ovyo kuhusu uchaguzi na kuhonga wapinzani. Yeye Polepole na genge lake waliharibu bunge na ofisi ya CAG katika kudhibiti matumizi ya serikali
 
Acha uongo, Samia mwenyewe kasema wahafidhina mlikataa asifanye maridhiano kivipi Leo mjifanye mko united? Mlimtumia Ndugai kupima upepo mlivyopigwa za uso mkapoteana. Nasema hivi ndani ya CCM hakuna wa kumchallenge mwenyekiti akabaki salama, unless muanzishe chama otherwise mtaruka ruka tu mtaishia kuomba msamaha 2025
Hizo ndo miweweseko yenu wapinzani. CCM Iko imara kipindi chote. Mgawanyiko na mipasuko ndani ya CCM mtasubili saana. Ushindi wa CCM uko pale paleee Hadi miaka 1000 ijayooo.
 
Back
Top Bottom