Msoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.
Haya mambo hayatokei tu kimiujiza !!
Kuna watu wanalazimika kutengwa na kua nje ya Mfumo sinkwa sababu nyingine, Bali Kwa lengo kubwa liliko mbele.
Luaga Mpina, alikatwa Jina sio?. Mkapiga yowee, Mpina kakomeshwaaa ,Sasa atulieee.
Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza !!.
Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI !!.
Ndo haya ya Mh Polepole Sasa !!.