zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Huo ndio ukweli, Polepole is a nobody CCM hutaki unaacha sijakulazimisha.Najua umeandika lakini Akili yako inakukataza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweli, Polepole is a nobody CCM hutaki unaacha sijakulazimisha.Najua umeandika lakini Akili yako inakukataza.
Hongera Mh. Polepole MUNGU azidi kukupaisha Hadi siku Moja utusaidie kuondoa wahaniRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.
2. Amemteua Balozi Lt. Jenerali (mstaafu) Yacoub Mohamed kuiwakilisha Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE). Kabla ya uteuzi huu, Balozi Mohamed alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
3. Amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Bakari alikuwa Konseli Mkuu nchini Dubai.
Ngoja tumuulize Mzee wa kwa maslahi ya Taifa 🤔
Wahani ndio wanani🤔Hongera Mh. Polepole MUNGU azidi kukupaisha Hadi siku Moja utusaidie kuondoa wahani
Endelea kujipa moyo hivyohivyoMovement zipi Mkuu? Polepole ni nzi tu CCM hakuwa hata na miaka 5 so Hana hiyo power mnayofikiria anayo. Kahamishwa Ili tu asipige kelele awe busy muda wote ila Sio kwamba ana uwezo wa kushawishi chaguzi za 2025.
Kama kinana, makamba, membe n.k walikua na miaka zaidi ya 40 CCM walitulizwa na JPM walipotaka kumuondoa 2020 ndio sembuse Polepole na Bashiru waliokaa 5 years pekee?? Mkuu CCM Ina wenyewe na ndio waliokamata serikali so hao kina Kabudi, Polepole na Bashiru ni wageni tu
Acheni kuwa overrate hao SYSTEM kilichotokea 2015 ni hofu ya Lowassa na CCM kuwa branded mafisadi so ikabidi tu waweke mgombea mwenye element za kichadema Chadema Ili at least wapinzani wampe kura ila sio kwamba system iliamua Bali ni JK aliona hali mbaya na kwamba CCM ingeanguka licha ya kuiba kuraWewe hujuhi kitu kaa kimya..
CCM Ina wenyewe lakini SYSTEM INAWENYEWE PIA.
unadhani magufuli kuwa rais ilikuwa NI coincidence tu?
Haya mambo muulize mzee
Mkuchika .
Nani anajipa moyo wakati mambo Yako wazi? Nafasi ya uenezi aliyewahi kuwa na ushawishi ni Nape pekee wengine wote hawana mvuto wa kisiasa Hadi Leo so msidanganye eti Polepole anaweza tingisha Rais hiko kitu hakipo Tanzania. Walishindwa kwa JK wakashindwa kwa JPM ndio sembuse Samia?Endelea kujipa moyo hivyohivyo
Una kichaa wewe kama huo ndio mchango wako kwenye topiki hii. JPM alikuwa habadilisihi badilishi namna hii, ni ama "anatumbua" moja kwa moja au "anakekemea makosa hadharani na kutishia kutumbua". Hakuwa anabadilibadili mara leo hapa mara kesho pale. Hebu eleza ni teuzi ngapi ambazo JPM alikuwa anahamisha hamaisha na kutengua tengua bila taarifa iwapo siyo wale aliokuwa "anatumbua kwa makosa fulani" na ikawa inajulikana fulani "katumbuliwa" kwa kosa fulani.Ama kweli mambo yamebadilika na JPM hayuko tena duniani.
Hadi wewe Kichuguu tunayekufahamu mtetezi wa kila jambo la serikali leo unalalamika!
Inashangaza sana.
Ila alipofanya JPM it was okay kutumbua almost Kila wiki? Hizi double standards haziwezi saidia taifa letu.Watu wanamsema Pole Pole wanasahau kuwa Mlowola aliyekuwa Cuba hakupangiwa popote.
Hata hivyo, tabia ya kuteua kutengua na kubadili mara kwa mara haijengi ufaninisi kiutendaji. Ni kweli kuna haja ya kuwaondoa walioshindwa kazi lakini siyo hii ya dana dana ya kila baada ya wiki mbili
Ndio wameenda kumzika huko, hahaa Nchimbi yuko wapi now? Wazee nduo wanajua alikuwa mwanasiasa, ila vijana wa sasa hakuna anaye mjua, Polepole ndio mwisho wake sasaKila hatua ina heri
Hongera kwake Humphrey
Wamemzika lasimi, angalia Mchimbi kule Brazili, ni wazeee wa zamani ndio wanajua jamaa alikuwa mwanasiasapushing him too far.
Wampime UKIMWI kwanza, asije akapeleka maambukizi kuleMwamba ana enda kula pisi za cuba
Cuba aiweze vipi? Kwa kifupi wamempeleka mbali make inaonekana Malawi alikuwa anakurana na watu wake kupanga mikakatiNi mjanjamjanja sana na cuba itaiweza kama alivyoweza Malawi
USSR
Kabisa na ndio mwisho wake kisiasa sasaTuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
Wamemaliza rasimiMasikini Polepole anapelekwa kwenye njaa tu. Mama kaona bado anafanya kazi kisiasa katupwa kisiwani mbali sana!
Umeandika hoja ya msingi sana.Tuna katiba ya kuteua na kutengua tu. Halafu linapokuja suala la kuwashughulikia wala rushwa na mafisadi, katiba hiyo hiyo huwageuza watawala kuwa walalamikaji.
Hana mipango yoyote.Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.