Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Hamna mwanamke.

Amandla...
 
Huku kwetu wengi ni walevi haswa wanachoka haraka
 
Tutampa mama yako izo nafasi
 
Exactly kabisa
 
Kwenye hii Nchi wakristo ni 3/4 ya Wananchi wote, waislam hata 1/3 hawafiki hadi kwenye masomo ni hivyo hivyo but cha ajabu kwenye vyeo waislam wanakuwa wengi.
Ilitakiwa kuwe na wakristo 6 na waislam 2 hii ndio ingekuwa fair.
Tatizo nyie wezi na makatili
 
Duh aisee, huyu huyu Mwamweta? Kweli ukitaka kufanikiwa kuwa rafiki wa tajiri. Jamaa kafika mbali kwa mgongo wa RizOne. Alikuwa chawa wake toka Mkwawa.
hapa na mm nimeunganisha dots ,kumbe hizi teuzi ,from msoga,naamini hao mageneral wametolewa kwa Target fulani .@Muite
 
Waislamu 7 Kwa kristo1 ? Au kuna tafsiri nyingine? If this is the case, then si kweli nadhani ni 5-3
Why uislam na ukristo zinakuwa ndiyo ajenda kubwa nchi hii, vipi kuhusu sisi tusio na upande kati ya hizo mbili. Wapi ilisemwa kwamba hii nchi ni ya imani hizi mbili tu!
 
Mmeaminiwa na Mh. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mkafanye kazi kwa maslahi ya taifa letu Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…