Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi pamoja na kuvunja Bodi ya TCRA

Hahahaha umeamka dada angu? nasubiri maelekezo ya viongozi
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Maelekezo yapi wewe kichaa kwani hukuambiwa kwa kuanzia kuandamana? Si mliambiwa mnaanzia pale Kadege?kweli nyie ni matapeli kwelikweli .kazi kujazana ujinga ujinga tu.andamana kama wewe mwanaume ili uvunjwe hiyo miguu?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Subiri dada angu uone mziki kuanzia saa 4 asubuhi
 
Kweli kabisa tatizo ni yeye mwenyewe; anateua kwa kuangalia majina ya watu na sio weledi ndio maana anafeli katika kila nyanja!
Kuthibisha chunguza majina ya wajumbe wa bodi iliyovunjwa ujiridhishe.
Wewe nani "yeye mwenyewe" nani?

Unajuwa vihgezo vya uteuzi?
 
Wewe nani "yeye mwenyewe" nani?

Unajuwa vihgezo vya uteuzi?
β€œYeye mwenyewe β€œ ni huyo anaye wateua!
Kwa mwenye akili β€œ weledi β€œ ni kigezo muhimu cha uteuzi badala ya Imani ya mtu!
 
β€œYeye mwenyewe β€œ ni huyo anaye wateua!
Kwa mwenye akili β€œ weledi β€œ ni kigezo muhimu cha uteuzi badala ya Imani ya mtu!
nani huyo "mwenye akili na weledi"?
 
Kuna tofauti ya elimu na akili
Kitabu kina elimu ila hakina akili
 
Tuna subiri awaondee wezi walio tajwa na CAG. Hizi nyingine ni mbwembwe tuu
 
Lakini pia sheria ya mambo yao ya usalama wa taifa yanazuia mtu yeyote aliyepata kukitumikia cheo cha Mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa kuteuliwa katika nafasi yoyote katika utumishi wa JMT.

Kuna mawili, Mwanasheria mkuu wa serikali hamshauri vizuri rais au Ubalozi sio nafasi katika utumishi wa JMT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…