UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu

Umenena vyema mkuu. Tatizo la nchi yetu uteuzi huangalia sana obedience/allegiance kwa mamlaka badala ya professionalism.
 
Umenena vyema mkuu. Tatizo la nchi yetu uteuzi huangalia sana obedience/allegiance kwa mamlaka badala ya professionalism.
Naamini haipaswi kuwa hivi hasa kwa tasnia nyeti kama ya sheria kwa sababu tusipoangalia hili mapema tunaweza kujikuta ni watu wa kutunga sheria na kuzitungua kila mara tofauti na nchi nyingine.
 
Kazi zigawiwe kwa uwezo na si jinsia, kabila, dini, kanda
 
tusisahau kuhesabiwa siku ya jumanne Agosi 23.
Sensa kwa maendeleo yako na kizazi chako.
 
Naamini haipaswi kuwa hivi hasa kwa tasnia nyeti kama ya sheria kwa sababu tusipoangalia hili mapema tunaweza kujikuta ni watu wa kutunga sheria na kuzitungua kila mara tofauti na nchi nyingine.
Sasa we niambie majaji walioendesha kesi ya mbowe? Yaani utafikiri vikao vya mahojiano ktk kamati kuu ya CCM.
 
Hakuna jaji hapo, sifa kuu lazima uwe mwanachama wa chama cha huyo anayekuteua. Hao ni majaji wa kimkakati.
 
V8 22 hizo zinunuliwe haraka wapewe ma Jaji wapya !! Kila V8 moja ni Mil 330. Mafuta kwa siku lita 30 sawa na Tshs 50 sawa na 145,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…