Mzee wewe bado?Ni jambo jema
Nilishastaafu kitambo sasa najitengenezea mema ya Ulimwengu ujaoMzee wewe bado?
Vijana mjiajiri,jiungeni kwenye vikundi mkachukue mikopo halmashauri.....alisikika mwanasiasa anayevizia teuzi kuendesha maisha yakeKwa hiyo Sisi vijana tunafanyaje
HatudanganyikiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania.
li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)
View attachment 2719327
Hongera zao. Prof. Mchome ni moja ya vichwa adimu sana hii nchi imejaliwa kuwa nao. Aliwahi kunifundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Yupo vizuri sanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania.
li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)
View attachment 2719327
Kuna mbunge alikuwa anaitwa Karavina labda ndio wamemfufulia hukuHuyu karavina sio Mzanzibari ??.
Kama ni ndio anaingiaje TRC?
Nauliza tu?
JiajiriniKwa hiyo Sisi vijana tunafanyaje
Kama lipi?Hana lingine ajualo.
Nahisi kama ndiye yeye kwasababu miaka ya 90 aliwahi kufanya kazi TRC kama mtu wa masoko hivi. Baadae akaja kuwa MP kwa jimbo la URAMBO mashariki.Kuna mbunge alikuwa anaitwa Karavina labda ndio wamemfufulia huku