Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania.

li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)

F3rTlyZW8AIsTI6.jpeg
 
Doing what she does best.

Hana lingine ajualo.
 
Keki inagawanywa na wanapokezana tu,vijana mjiajiri wakati wanaohubiri kujiajiri wanasubiria post za teuzi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania.

li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)

View attachment 2719327
Hatudanganyiki
 
Hongera zao. Prof. Mchome ni moja ya vichwa adimu sana hii nchi imejaliwa kuwa nao. Aliwahi kunifundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Yupo vizuri sana
 
Kuna mbunge alikuwa anaitwa Karavina labda ndio wamemfufulia huku
Nahisi kama ndiye yeye kwasababu miaka ya 90 aliwahi kufanya kazi TRC kama mtu wa masoko hivi. Baadae akaja kuwa MP kwa jimbo la URAMBO mashariki.
 
Back
Top Bottom