UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

A wise choice
 
Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Huyo amewekwa kiporo kidogo, hawezi pewa uwaziri asilani. Kuna dude linasukwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…