UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila zama ni kitabu chake
 
Huyu Bashiru huyu ilikuwaje akawa pale? dah Jiwe bhana!
 
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
 
Bashiru kaweka bando la wiki muda huu anaangalia tulivyopokea ushukaji wake wa cheo.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba tumetoka usukumani tukaenda Unguja..
 
Ba

Balozi Katanga kutoka DED- Kinondoni Municipal, RAS, Mtendaji Mkuu Idara ya mahakama, Balozi and now Chief Secretary! Hongera sana.
Mhe Katanga yupo vizuri kiutendaji alifanya vizuri sana alipokuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama (Mahakama ni mhimili kamili siyo idara)
 
Hivi jamani sifa za mtu kuwa Katibu mkuu kiongozi ni zipi?
 
Kongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P...
chawa huwa mnajua sana kuwajaza matumaini hewa maboss zenu wanaowaweka mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…