UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Unahisi kundi gani litakuwa bora kwako?
 
Hahahaaaaa . . . JF raha sana
 
Noma sana.kazi za kuteuliwa nuksi.
Noma kweli hii hesabu sijaielewa kabisa...
unatoka kuwa katibu mkuu wa chama.....
wakati wa uchaguzi mkuu huyu alikuwa na nguvu sana kwenye kupendekeza wabunge wagombea.....
badae unateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi...
mara paap unakuwa mbunge wa kuteuliwa!!???
 
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge....
Nasubiri barua ya Msigwa kutoka kurugenzi ya mawasiliano
 
Jamaa kabaki kufoka foka tu huko twitter..alisema Boss wa nhc atakuwa katibu mkuu..kala za uso.
Ha ha haaa
jamaa sshv analamba kamasi tu kwa kulia....anagala gala tu
mama ana mapigo huyu hasomeki
 
Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Inaonekana wewe haujakomaa kisiasa. Huwezi kushambulia kundi kubwa kiasi hiki huku ukiwa na ndoto za kushika dola katika nchi hii.
 
Mmm sawa,mama naona mama ameamua kuirudisha nchi mahala pake.
Kufuatia kugogo na baadhi ya Chadema wenye wivu kuwashambulia mawaziri waliowaita kuwa ni Sukuma gang na walikuwa wakimpangia rais Samia awatumbue wote, ndoto zao zimeenda kinyume kwani wameendelea kupeta wote na wako tayari kuwanyiosha mafisadi kuanzia wezi wa dawa hadi wezi wa kodi za wananchi.

Sukuma gang ndiyo waliorejesha nchi hii kwenye msitari kwa sababu wana msimamo na akili nyingi .

Sukuma gang they can command respect kitu ambacho wenzetu wa milimani na midundiko hawawezi.
 
Hii nchi ili itawalike kwa uzuri ni sharti katiba ifanyiwe marekebisho. Rais ana mamlaka ya kufanya ajuavyo yeye na si kufuata sheria
Sure, sema ndo hvo bunge lenyewe ni la kijani tu, hakuna anaye taka kwenda kunyume na utawala.

Bila katiba mpya, mapambano yote mnayofanya ni bure tyu, kuna boya atakuja atafanya yake tutarud nyuma kwa sababu hatuna katiba mpya inayo ruhusu Uwajibikaji kwa viongozi.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mpango alianza teuliwa na JK. Hussein Katanga pia. JK bado ana mkono sn IKULU. Ana uma na kupuliza.
 
Anakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Hakuna cha uzoefu wala mavi yake uzoefu.

Nilikua nasema mama la mama anachoma sindano tartiiiibuuu huku anatabasamu ...sukuma gang mafiaso mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…