Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!
Unahisi kundi gani litakuwa bora kwako?Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Tuhuma gani tena?hebu mwagikaBashiru kang'olewa huenda zile tuhuma ni kweli
Hahahaaaaa . . . JF raha sanaKitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
Noma kweli hii hesabu sijaielewa kabisa...Noma sana.kazi za kuteuliwa nuksi.
Nasubiri barua ya Msigwa kutoka kurugenzi ya mawasilianoRais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge....
Ha ha haaaJamaa kabaki kufoka foka tu huko twitter..alisema Boss wa nhc atakuwa katibu mkuu..kala za uso.
Inaonekana wewe haujakomaa kisiasa. Huwezi kushambulia kundi kubwa kiasi hiki huku ukiwa na ndoto za kushika dola katika nchi hii.Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Kwa kweli, ni majasusi kiwango cha SGR.Mabalozi wetu kwenye mataifa makubwa huwa ni majasusi wabobezi au nasema uongo ndugu zangu
OPSihitaji ku-elaborate zaidi,kama wewe ni mjanja na unatumia akili vizuri lazima ulione hili.
Kufuatia kugogo na baadhi ya Chadema wenye wivu kuwashambulia mawaziri waliowaita kuwa ni Sukuma gang na walikuwa wakimpangia rais Samia awatumbue wote, ndoto zao zimeenda kinyume kwani wameendelea kupeta wote na wako tayari kuwanyiosha mafisadi kuanzia wezi wa dawa hadi wezi wa kodi za wananchi.Mmm sawa,mama naona mama ameamua kuirudisha nchi mahala pake.
Sure, sema ndo hvo bunge lenyewe ni la kijani tu, hakuna anaye taka kwenda kunyume na utawala.Hii nchi ili itawalike kwa uzuri ni sharti katiba ifanyiwe marekebisho. Rais ana mamlaka ya kufanya ajuavyo yeye na si kufuata sheria
Amewahi kuwa KM utumishi anauzoefu na utumishi na siyo Bashiru
Hakuna cha uzoefu wala mavi yake uzoefu.Anakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri