UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Sure, sema ndo hvo bunge lenyewe ni la kijani tu, hakuna anaye taka kwenda kunyume na utawala.

Bila katiba mpya, mapambano yote mnayofanya ni bure tyu, kuna boya atakuja atafanya yake tutarud nyuma kwa sababu hatuna katiba mpya inayo ruhusu Uwajibikaji kwa viongozi.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Yaani hili suala ndio linaumiza kichwa sana tena sana yaani kila Rais akija anaamua kufanya yake na kupita anaiacha Tanzania palepale haisongi mbele na wanaendekeza njaa zao binafsi Ikulu imekuwa kama mahali pa kitafutia Utajiri inasikitisha sana kwa kweli!
 
Mabalozi wetu kwenye mataifa makubwa huwa ni majasusi wabobezi au nasema uongo ndugu zangu
Kweli kabisa na ukisoma majukumu yake ndio utaunganisha dots mkuu.

Na si balozi tu hata katibu kiongozi ni kama vile mawaziri wakuu ni wana SAFETY
 
Anakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Sahauni hii ni vita mama tiali anautazama uraisi si kwa awamu moja bali kwa awamu mbili ndio maana anajaribu kupangua watu wa makundi ambayo katika safari yake ya kisiasa yanaweza kumkwamisha

Tazama nafasi kama TAMISEMI kuwa ummi
Huyu mama ni strategy ya mama mkuu kustabalize mikoani hadi wilayani kwa kutengeneza mtandao wake
Nafasi ya katibu kiongozi ni strategy ya mama
Hapa tunaona kuwa bashiru kateuliwa kuwa Mbunge lakini hii ni danganya toto mama anatumia akili na hesabu kubwa hapa bashiri katumbuliwa kwa ganzi ili maumivu sisi tusiyaone lakini kitendo cha bashiru kupelekwa bungeni ni sawa ametupwa kwa sasa hana ushawishi tena kwenye serikali na kwenye chama.

Tusubili mama atakapo teuliwa kuwa mwenyeketi hapo hutaona mazishi ya Bashiru na polepole kisiasa ndio kwa heli.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Yule kada hakuwa na sifa za kutosha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi pamoja ya kuwa mwendazake John Pombe Magufuli (RIP) alijaribu kumuinua kwa kumpachika kila aina ya vyeo chamani na serikalini ikiwemo ubalozi lakini hakuwa anatosha tukisoma CV za waliowahi kuwa ktk wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi.
 
Kitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
mama amefanya the best choice hata mambo ya nje kaleta watu wenye exposure sio mambo ya kenda kenda
 
Chama chako kikiwakosa "sukuma gang" sahau kutawala nchi hii.Chadema ilipanda chati sababu ya sapoti ya lake zone.Kifo cha Chadema hakiepukiki sababu ya huu ujinga
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
 
Nchemba alienda ziara mkoani JPM katengua... jamaa may be alipanda basi kurudi home toka huko mkoani... Maana Presidaa alipinga na hiyo ziara...
[emoji28][emoji28] Tanzania BWANA
Unaweza enda job na cruiser,jioni ukarudi na bajaji
 
Back
Top Bottom