WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Ha ha ha kwa huu mwendo wa Mama Samia hata mm nitapigiwa simu tu. Bonge la uteuziii[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha kwa huu mwendo wa Mama Samia hata mm nitapigiwa simu tu. Bonge la uteuziii[emoji3][emoji3]
Yaani hili suala ndio linaumiza kichwa sana tena sana yaani kila Rais akija anaamua kufanya yake na kupita anaiacha Tanzania palepale haisongi mbele na wanaendekeza njaa zao binafsi Ikulu imekuwa kama mahali pa kitafutia Utajiri inasikitisha sana kwa kweli!Sure, sema ndo hvo bunge lenyewe ni la kijani tu, hakuna anaye taka kwenda kunyume na utawala.
Bila katiba mpya, mapambano yote mnayofanya ni bure tyu, kuna boya atakuja atafanya yake tutarud nyuma kwa sababu hatuna katiba mpya inayo ruhusu Uwajibikaji kwa viongozi.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa na ukisoma majukumu yake ndio utaunganisha dots mkuu.Mabalozi wetu kwenye mataifa makubwa huwa ni majasusi wabobezi au nasema uongo ndugu zangu
Sahauni hii ni vita mama tiali anautazama uraisi si kwa awamu moja bali kwa awamu mbili ndio maana anajaribu kupangua watu wa makundi ambayo katika safari yake ya kisiasa yanaweza kumkwamishaAnakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Na ina kama aibu vile kupewa ubunge ni kama jamaa hayupo kwenye mipango ya RaisKatibu mkuu hadi ubunge?
mama amefanya the best choice hata mambo ya nje kaleta watu wenye exposure sio mambo ya kenda kendaKitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
akitaka aache ha ha ha ha na ving'ola leo hakuna analudi nyumbani anakuta hadi walinzi wameondokaNa ina kama aibu vile
Nimecheka sana,kwamba ni aibu kwa Waganda kyakaHongera sana kwake, hii ni aibu kwetu waganda kyaka.
ng'ombe hawajawah kuwa na akili kumzidi binadamu ndugu.........Baraza jipya ,Sukuma gang wanaendelea kupeta kwa sababu ndiyo wenye akili zaidi.
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Hajawahi kuwa mwanasiasa ni "pure a civil servant "Huyu aliye take over kwani siyo mwanasiasa?
Utakalia hayo hayo huku ukiburuzwa kenge wewe.ng'ombe hawajawah kuwa na akili kumzidi binadamu ndugu.........
Nimewaza kama weweBashiru kang'olewa huenda zile tuhuma ni kweli
duh.... nimecheka kifala sana hii comment mkuu!Sasa itakuwaje kama Staring wa movie ya Sukuma Gang kafia kwenye maua ya saa nne.🤣🤣
[emoji28][emoji28] Tanzania BWANA
Unaweza enda job na cruiser,jioni ukarudi na bajaji
Kwani uwaziri unauzoefu,kumbuka kabudi alivyoteuliwa ubunge then uwaziri hapohapoAnakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Huyu Bashiru huyu ilikuwaje akawa pale? dah Jiwe bhana!