ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Bora bongo bata kama zote kule balozi chupi tu ww huoni waziri mkuu tu wa japan wanamuona boya tu.Ipi bora, kuwa balozi uishi Japan au kuja kuishi bongo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora bongo bata kama zote kule balozi chupi tu ww huoni waziri mkuu tu wa japan wanamuona boya tu.Ipi bora, kuwa balozi uishi Japan au kuja kuishi bongo!
Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!
Jiwe kaiharibu nchi na itachukua miaka si chini ya 5 kuiweka upyaJiwe alikuwa anavunja sheria kwasababu by his nature he was rebellious. Kuna muongozo maalum juu ya uteuzi wa KKK ambao ndio huu sasa Rais Samia kaufuata kumteua balozi Katanga kwani ni senior career civi servant!
Ila Bashiru alibadilika ghafla alipokuwa akikutana na Mhe. Rais na mpaka sasa sidhani kama amani imerudi moyoni mwake, kwa zile picha kuna kitu kilikuwa kinaendelea kabla ya mama kutakeoverInawezekana zile tuhuma na kutaka kumu-overthrow Mama au wizikuwa kuna moja au zote ni za kweli.
😅😅😅😅😅😅mama amefanya the best choice hata mambo ya nje kaleta watu wenye exposure sio mambo ya kenda kenda
Alikuwa pia Karibu mkuu Tamisemi kabla ya kuwa mtendaji wa mahakama. Kumbe kuteuliwa Ubalozi ilikuwa ni nyota ya kuja kumfanya kuwa KMKBalozi Katanga kutoka DED- Kinondoni Municipal, RAS, Mtendaji Mkuu Idara ya mahakama, Balozi and now Chief Secretary! Hongera sana.
Tukisema JK ana maono ya kunusa viongozi huwezi bisha, ni watu wachache Sana kwenye Baraza ambao ni wapya.Mpango alianza teuliwa na JK. Hussein Katanga pia. JK bado ana mkono sn IKULU. Ana uma na kupuliza.
Kwani wewe ndio Samia tukubaliane na unayoyafikiria weweNdio unavyojidanganyaeee
Soma maandiko kwa kuelewa. Ilimpasa yaliyoandikwa kwenye torati na manabii yatimie juu yake!sio ajabu mbona yesu alijifanya mungu lakini walimkamata na kumtundika juu kwa misumari akaambiwa ajiokoe kama yeye ni mungu akashindwa watu wakawa wanapita nakumuona yupo juu wakasema huyo si ndie mungu mbona leo hana uwezo
Sky sky sky...ujue mungu anakuona.Kakurwa hata mshahara wa kwanza wa Katibu Kiongozi haujaingia
View attachment 1739691
Kwa heshima ya Mwendazake, naomba tumwache apumzike kwa amani kwenye pumziko lake la milele, ila mizigo yake aliotuachia, ile inayobebeka, Watanzania tutaendelea kuibeba kwa upendo, na ile isiyobebeka, kwa heshima yake, hatuta ibwaga chini puu, bali tutaitua taratibu mdogo mdogo mpaka iishe.Comrade Pascal Mayalla nimesikia interview yako na DW leo, kuhusu uteuzi na kutenguliwa kwa mwanazuoni
Eti ulisema wenye chama chao hawakumtaka mwanazuoni ila alikuwa ana bebwa ? ...
Hivi kweli jasusi wa Tanzania unaenda kui_spy mathalani Japan mmh, ili iweje na kwa hadhima gani?Mabalozi wetu kwenye mataifa makubwa huwa ni majasusi wabobezi au nasema uongo ndugu zangu.
🤣🤣😂🤣😂🤣 Comrade Pascal Mayalla ila kweli comrade binafsi kuna kitu kikubwa nimejifunza ktk tukio hili na kauli ile maarufu siasa ni mchezo mchafuKwa heshima ya Mwendazake, naomba tumwache apumzike ila mizigo yake inabwaga mmoja baada ya mwingine.
P
🤣🤣🤣 Warushie jiwe.Acheni kujipendekeza
Hivi nyie ndio mnahusika na uoandaji wa vifurushi?