UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!

Sio ajabu, mbona yesu alijifanya mungu lakini walimkamata na kumtundika juu kwa misumari akaambiwa ajiokoe kama yeye ni mungu akashindwa watu wakawa wanapita nakumuona yupo juu wakasema huyo si ndie mungu mbona leo hana uwezo
 
Jiwe alikuwa anavunja sheria kwasababu by his nature he was rebellious. Kuna muongozo maalum juu ya uteuzi wa KKK ambao ndio huu sasa Rais Samia kaufuata kumteua balozi Katanga kwani ni senior career civi servant!
Jiwe kaiharibu nchi na itachukua miaka si chini ya 5 kuiweka upya
 
Kwa ujinga aliofanya tar 12 na 13 yeye na mwenzake..kuteuliwa kuwa mbunge ameheshimiwa sawa ...mwenzake hatamaliza kipindi kilichobaki..washenzi, sana hawa...
 
Inawezekana zile tuhuma na kutaka kumu-overthrow Mama au wizikuwa kuna moja au zote ni za kweli.
Ila Bashiru alibadilika ghafla alipokuwa akikutana na Mhe. Rais na mpaka sasa sidhani kama amani imerudi moyoni mwake, kwa zile picha kuna kitu kilikuwa kinaendelea kabla ya mama kutakeover
 
Balozi Katanga kutoka DED- Kinondoni Municipal, RAS, Mtendaji Mkuu Idara ya mahakama, Balozi and now Chief Secretary! Hongera sana.
Alikuwa pia Karibu mkuu Tamisemi kabla ya kuwa mtendaji wa mahakama. Kumbe kuteuliwa Ubalozi ilikuwa ni nyota ya kuja kumfanya kuwa KMK
 
Mpango alianza teuliwa na JK. Hussein Katanga pia. JK bado ana mkono sn IKULU. Ana uma na kupuliza.
Tukisema JK ana maono ya kunusa viongozi huwezi bisha, ni watu wachache Sana kwenye Baraza ambao ni wapya.

Hata Waziri wa Elimu alimteua kuwa mtendaji wa Baraza la mitihani enzi zile waislamu wanamshinikiza amfukuze lakini alidinda

Ishu ilikuwa namna ya kuwasimamia watu wapya ambao siwajui ni akina Dotto ila sio Kalemani yuko madini kitambo sana
 
sio ajabu mbona yesu alijifanya mungu lakini walimkamata na kumtundika juu kwa misumari akaambiwa ajiokoe kama yeye ni mungu akashindwa watu wakawa wanapita nakumuona yupo juu wakasema huyo si ndie mungu mbona leo hana uwezo
Soma maandiko kwa kuelewa. Ilimpasa yaliyoandikwa kwenye torati na manabii yatimie juu yake!
 
Comrade Pascal Mayalla nimesikia interview yako na DW leo, kuhusu uteuzi na kutenguliwa kwa mwanazuoni
Eti ulisema wenye chama chao hawakumtaka mwanazuoni ila alikuwa ana bebwa ? ...
 
Comrade Pascal Mayalla nimesikia interview yako na DW leo, kuhusu uteuzi na kutenguliwa kwa mwanazuoni
Eti ulisema wenye chama chao hawakumtaka mwanazuoni ila alikuwa ana bebwa ? ...
Kwa heshima ya Mwendazake, naomba tumwache apumzike kwa amani kwenye pumziko lake la milele, ila mizigo yake aliotuachia, ile inayobebeka, Watanzania tutaendelea kuibeba kwa upendo, na ile isiyobebeka, kwa heshima yake, hatuta ibwaga chini puu, bali tutaitua taratibu mdogo mdogo mpaka iishe.
P
 
Ingekuwa ni mimi nisingempa hata ukuu wa wilaya. Hafai huyo. Walishiriki kupanga mikakati ya kufanya Tanzania jehanamu.
 
Mabalozi wetu kwenye mataifa makubwa huwa ni majasusi wabobezi au nasema uongo ndugu zangu.
Hivi kweli jasusi wa Tanzania unaenda kui_spy mathalani Japan mmh, ili iweje na kwa hadhima gani?
 
🇹🇿📍Salamu za Pongezi

"Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari tunakupa hongera kwa kuteuliwa kuwa katibu Mkuu Kiongozi" - Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari

IMG-20210402-WA0026.jpg
 
Acheni kujipendekeza
Hivi nyie ndio mnahusika na upandaji wa vifurushi?
 
Back
Top Bottom