Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

Kwa hiyo ameteua ma dc ambao sio majasiri na vere tafu ? Wataziweza kazi za porini kweli ?
 
Unaacha kumkubali mzazi wako aliyehaingaika na wewe unakuja kumkubali mzazi wa mwenzio? Nchi ngumu sana hii
Namkubali yeye kwa kuwa amenirahisishia maisha. Mfano ninauhakika wa umeme muda wote kwenye kasaloon kangu baada ya kusimamia vizuri bwawa la Nyerere, dar - Dom natumia muda mfupi kwenda kwakuwa amekamilisha SGR kipande hicho. Shuleni mwanangu anasoma Bure, Hadi form six
 
Msigwa na yule wa maisha + peneza walijuwa watakuwepo kwenye mkeka huu 😄

Ova
 
Kiutendaji inaongeza Ari ya utendaji, mkuu wa kitengo akikaa mahali muda mrefu utendaji Huwa unapungua. Mfano mbowe amekuwa mwenyekiti muda mrefu ndio kama CHADEMA imepotea kwenye ramani
[emoji2956][emoji2956]
 
Back
Top Bottom