Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Unaacha kumkubali mzazi wako aliyehaingaika na wewe unakuja kumkubali mzazi wa mwenzio? Nchi ngumu sana hiiMama kwa Hili, 2025 utashinda zaidi ya 100%. Hongera sana mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaacha kumkubali mzazi wako aliyehaingaika na wewe unakuja kumkubali mzazi wa mwenzio? Nchi ngumu sana hiiMama kwa Hili, 2025 utashinda zaidi ya 100%. Hongera sana mama
Duhh🤣🤣🤣🏃🏃Unaacha kumkubali mzazi wako aliyehaingaika na wewe unakuja kumkubali mzazi wa mwenzio? Nchi ngumu sana hii
Ndio maana mnaenda kuteka Watu maporiniwanaCCM tunaakili zaidi kuliko wafuasi wa vyama vingine.
Wakinga na majina ya vitu ni ulimi na mate, nilisoma na kuishi na hawa
- Fanta Sanga
- Scania Mahenge
- Cassette Mbilinyi
- Clinic Sanga
Chawa mna akili ndogo sana. Unadhani watu wana akili ndogo kama wewe?Mama kwa Hili, 2025 utashinda zaidi ya 100%. Hongera sana mama
Huyu na Njaa kali hawachekani.Lucas Mwashambwa ili akina Samia wakuheshimu jiheshimu. Maandiko yako yanatia kinyaa na kutapisha watu. Hizo sifa unazoandika zinakudhalilisha kiasi cha kuonekana umebeba usaha kichwani badala ya ubongo.
Kwani kateua au kahamisha vituo vya kazi?Mama kwa Hili, 2025 utashinda zaidi ya 100%. Hongera sana mama
Mama kwa Hili, 2025 utashinda zaidi ya 100%. Hongera sana mama
Mwashambwa ni la saba hajuhi kitu huyo ni mzigo hawana pa kumuweka...Wapi Lucas Mwashambwa, Msigwa?
Mkeka umegoma kusoma?
Wana nuksi?
Namkubali yeye kwa kuwa amenirahisishia maisha. Mfano ninauhakika wa umeme muda wote kwenye kasaloon kangu baada ya kusimamia vizuri bwawa la Nyerere, dar - Dom natumia muda mfupi kwenda kwakuwa amekamilisha SGR kipande hicho. Shuleni mwanangu anasoma Bure, Hadi form sixUnaacha kumkubali mzazi wako aliyehaingaika na wewe unakuja kumkubali mzazi wa mwenzio? Nchi ngumu sana hii
Amewaasses kupitia vyombo mbali mbali na amejiridhisha wanawezaKwa hiyo ameteua ma dc ambao sio majasiri na vere tafu ? Wataziweza kazi za porini kweli ?
[emoji2956][emoji2956]Kiutendaji inaongeza Ari ya utendaji, mkuu wa kitengo akikaa mahali muda mrefu utendaji Huwa unapungua. Mfano mbowe amekuwa mwenyekiti muda mrefu ndio kama CHADEMA imepotea kwenye ramani
Umeona anataka kuteuliwa kwenye serekali ya majizi?Wewe mwenye akili umeteuliwa wapi .
Huko ccm hakuna tofauti kati ya mwenye PhD na standard 7 leaver.Mwashambwa ni la saba hajuhi kitu huyo ni mzigo hawana pa kumuweka...
Anachoweza tena kwa kufanyiwa ni kuteua na kutangua.Mama kwa Hili, 2025 utashinda zaidi ya 100%. Hongera sana mama
Mzazi wako ndio kakufunza kuwachukia wazazi wa wenzakoUnaacha kumkubali mzazi wako aliyehaingaika na wewe unakuja kumkubali mzazi wa mwenzio? Nchi ngumu sana hii