Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

Mama ameweza, mitano tena tafadhali!!
 
Wale wafugaji walioingiza mifugo yao katika shamba la Mhe. Rais Samia wakati ule alipokwenda kulima Mpunga kule Mkoani Morogoro wakaula mpunga wake wote shambani Mungu anawaona.
 
ccm ishakosa dira na muelekeo. Basi wadanganyika ni waoga!
 
Wale wafugaji walioingiza mifugo yao katika shamba la Mhe. Rais Samia wakati ule alipokwenda kulima Mpunga kule Mkoani Morogoro wakaula mpunga wake wote shambani Mungu anawaona.
[emoji1787]
 
Wakinga na majina ya vitu ni ulimi na mate, nilisoma na kuishi na hawa
  1. Fanta Sanga
  2. Scania Mahenge
  3. Cassette Mbilinyi
  4. Clinic Sanga
Mkuu siyo wakinga peke yao, nenda kwa watani zangu wasukuma ukajionee majina kama, Magufuli, Sahani, Shikombe, Kafulila, nk 😅😅
 
Kwamba Kuna cha maana walichofanya uko walikotolewa;ni upuuzi tu!
 
Mama ameteua na kutengua mpaka tumemchoka. Uwajibikaji sifuri, ufanisi sifuri, upigaji 90%.
Hao watu huwa wanapata muda saa ngapi wa kufanya mipango ya utekelezaji,maana mtu anakaa sehemu mwaka mmoja kahamishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…