Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm ishakosa dira na muelekeo. Basi wadanganyika ni waoga!TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo:
[emoji1787]Wale wafugaji walioingiza mifugo yao katika shamba la Mhe. Rais Samia wakati ule alipokwenda kulima Mpunga kule Mkoani Morogoro wakaula mpunga wake wote shambani Mungu anawaona.
Mambo yale ya Dc kukaa na kuchakata mambo maporini?Ndio mambo ya utawala ndugu hii Iko kote ulimwenguni
Tumechoka sasa teuzi kila wiki? Hawa hawana kazi nyingine?Atakuja na uzi humu
Uteuzi wa viongozi wawabubujisha machozi watanzania
HahahLucas Mwashambwa ili akina Samia wakuheshimu jiheshimu. Maandiko yako yanatia kinyaa na kutapisha watu. Hizo sifa unazoandika zinakudhalilisha kiasi cha kuonekana umebeba usaha kichwani badala ya ubongo.
Kweli Mkuu kila Mwezi ni teuzi tutafika?Jambo jema
Umemsahau wanzuki kyandoWakinga na majina ya vitu ni ulimi na mate, nilisoma na kuishi na hawa
- Fanta Sanga
- Scania Mahenge
- Cassette Mbilinyi
- Clinic Sanga
Wapo kinaDatsun sanga
Toyota mahenge
Ford msemwa
Trecta mwinuka
Phonex ngailo
Phatpham kyando
Pedeli ngajilo nk
Hawazidi Wandebele wa Zimbabwe ambao wao wanatumia neno lolote la kiingereza:Datsun sanga
Toyota mahenge
Ford msemwa
Trecta mwinuka
Phonex ngailo
Phatpham kyando
Pedeli ngajilo nk
Camera George MwinukaWakinga na majina ya vitu ni ulimi na mate, nilisoma na kuishi na hawa
- Fanta Sanga
- Scania Mahenge
- Cassette Mbilinyi
- Clinic Sanga
🤣Camera George Mwinuka
🤣Umemsahau wanzuki kyando
Africa ndio kuna upumbavu kama huuNdio mambo ya utawala ndugu hii Iko kote ulimwenguni
🤣Sasa machozi yamekauka hayatoki kabisa kwa watu !
Mkuu siyo wakinga peke yao, nenda kwa watani zangu wasukuma ukajionee majina kama, Magufuli, Sahani, Shikombe, Kafulila, nk 😅😅Wakinga na majina ya vitu ni ulimi na mate, nilisoma na kuishi na hawa
- Fanta Sanga
- Scania Mahenge
- Cassette Mbilinyi
- Clinic Sanga
Kwamba Kuna cha maana walichofanya uko walikotolewa;ni upuuzi tu!TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo:
A: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya
1. Luteni Kanali Fredrick Faustin Komba ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji;
2. Bw. Mohamed Mussa Mtulyakwaku ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mtulyakwaku alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba; na
3. Bw. Olivanues Paul Thomas ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Thomas alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Mafia.
B: Uhamisho wa Wakuu wa Wilaya
1. Mhe. Halima Habib Okash amehamishwa kutoka Wilaya ya Bagamoyo kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba;
2. Mhe. Gerald Romuald Mongella amehamishwa kutoka Wilaya ya Chemba kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua;
3. Mhe. Dkt. Rashid Mohamed Chuachua amehamishwa kutoka Wilaya ya Kaliua kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma;
4. Mhe. Salum Hamis Abdallah Kali amehamishwa kutoka Wilaya ya Kigoma kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido;
5. Mhe. Shaibu Issa Ndemanga amehamishwa kutoka Wilaya ya Lindi kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo;
6. Mhe. Victoria Charles Mwanziva amehamishwa kutoka Wilaya ya Ludewa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi;
7. Mhe. Abdallah Mussa Mwaipaya amehamishwa kutoka Wilaya ya Mwanga kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara;
8. Mhe. Mwanahamisi Athumani Mukunda amehamishwa kutoka Wilaya ya Mtwara kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga;
9. Mhe. Emmanuela Kaganda Mtatifikolo amehamishwa kutoka Wilaya ya Arumeru kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati;
10
. Mhe. Lazaro Jacob Twange amehamishwa kutoka Wilaya ya Babati kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai;
11
. Mhe. Amir Mohamed Mkalipa amehamishwa kutoka Wilaya ya Hai kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru;
12.
Mhe. Dkt. Khalfan Boniface Haule amehamishwa kutoka Wilaya ya Musoma kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya;
13. Mhe. Juma Issa Chikoka amehamishwa kutoka Wilaya ya Rorya kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma; na
14. Mhe. Zakaria Saili Mwansasu amehamishwa kutoka Wilaya ya Uyui kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe.
C: Uteuzi wa Makatibu Tawala wa Wilaya
1. Bw. Mohamed Juma Ngasinda ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba; na
2. Bw. Shabani Shabani Hamimu ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Mafia.
D: Uhamisho wa Makatibu Tawala wa Wilaya
1. Bi. Warda Abdallah Obathany amehamishwa kutoka Wilaya ya Iramba
kwenda kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni; na
2. Bi. Stella Edward Msofe amehamishwa kutoka Wilaya ya Kinondoni kwenda kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Iramba.
E: Uhamisho wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri
1. Bi. Hanan Mohamed Bafagh amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti; na
2. Bw. Hemedi Said Magaro amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa.
F: Uteuzi wa Wakuu wa Taasisi na Mwenyekiti wa Bodi
1. Bw. Mick Lutechura Kiliba ameteuliwa kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Kiliba alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu;
2. Bw. Macrice Daniel Mbodo ameteuliwa kuwa Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania (TPC); na
3. Bw. Eliud Betri Sanga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
PIA SOMA
- Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Hao watu huwa wanapata muda saa ngapi wa kufanya mipango ya utekelezaji,maana mtu anakaa sehemu mwaka mmoja kahamishwa!Mama ameteua na kutengua mpaka tumemchoka. Uwajibikaji sifuri, ufanisi sifuri, upigaji 90%.