UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

Haapna shaka huyu mama SOPHIA SIMBA ni kachero mbombezi wa TISS mbona haishi kuteuliwa kutenguliwa ana nini ambacho kinampa kung'ara na kufifia na kung'ara tena.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii.


View attachment 2186352
Hivi jamani huu mzunguko utaisha lini mbona ni walewale miaka nenda rudi... wengine wanatakiwa sasa wanalea vitukuu vyao na kustaafu. dunia ya sasa imebadilika sana enzi za maono kama ya akina Simba kwa sasa ni tofauti na maono ya kizazi cha kidigitali.
 
Hivii,hakuna watu wengine wanarudishwa wale wale?Disgusting.There are better people than Sophia Simba jamani,lakini kwa nini hivi?
Watu wengine bora kuliko yeye wapo wengi tu.... ila "are they part of the elite (inner circle) ".
 
Nchi hii yaani ukishakuwa kwenye system basi hutoki. Mijitu imeshastaafu (wala haifi!). Imeiba vya kutosha. Mitajiri haswa haswa. Bado inarudishwa tu. Hakuna wengine wanaoweza kushika hizo nafasi? Imagine Mrema yule aliyeonekana kanisani akifunga ndoa hawezi hata kusimama bado ni mwenyekiti sijui wa bodi gani. Aliyeturoga alishakufa kmmk [emoji51][emoji51][emoji51] [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
We chizi, ulitaka ateuliwe mumeo?! Mbona magufuli alikuwa anateua majambazi kina Sabaya mkawa mnashangilia wapuuzi nyie
 
Kama ulikufa miaka ya Mkapa ukafufuka leo utadhani hakuna watu wengine waliozaliwa baada ya viongozi wa kipindi kile. Ni upuuzi watu walishastaafu bado unarudisha. Halafu watu wenyewe wazee kabisa inabidi umsomee nyaraka
 
Back
Top Bottom