Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Takwimu nyingine
 

Attachments

  • 1B737EAA-22D4-4E4A-A15E-B4F0BF5CEF38.jpeg
    696.3 KB · Views: 8
  • 25E15ED4-2B2E-4E19-8042-067C1ED679F2.jpeg
    628.5 KB · Views: 8
Mh rais mimi nateuliwa lini mkuu,kila mkeka ukitoka mimi Simo nimekoea nchi yangu nini mh rais
 
Taja wilaya za ruvuma,iringa tupo tangu mkwawa,tabora,kilimanjaro tupo,singida tumetawala,ni mbeya na Arusha tu tupo wachache,Arusha kwenyewe wamasai ni wapagani, ukiristo umeingia tz 1800s,wakati 800 Kuna Islamic Emirates kilwa/pwani
😂😂😂 eti mkwawa alikuwa wa kwenu unashangaza, sisi tuna vigango kila j mosi tunasali na kuhesabiana so tuna ijua fika idadi yetu wewe endelea kuota na stori za mohamed said
 
😂😂😂 eti mkwawa alikuwa wa kwenu unashangaza, sisi tuna vigango kila j mosi tunasali na kuhesabiana so tuna ijua fika idadi yetu wewe endelea kuota na stori za mohamed said
Hao wakuu wako wa vigango ndiyo waliosema vigangoni mpo 13m,mkwawa alikua muislam,fika makumbusho yake hapo iringa utakuta hilo
 
Hao wakuu wako wa vigango ndiyo waliosema vigangoni mpo 13m,mkwawa alikua muislam,fika makumbusho yake hapo iringa utakuta hil
Utajikojolea amka, wakatoliki ni zaidi ya 40% ya watz sisi tunazo takwimu zetu tayar mana daily tunahesabiana na huko iringa hakuna evidence yoyote ya mtwa kuwa muislam hili nnaforce daily na halitatokea, sasa nyinyi si mpo wengi mimi naona zipigwe tu ili mbabe ajulikane ili hizi kelele ziishe
 
Ila watu huwa waongo sana kuna dingi kwenye kijiwe chetu cha kahawa akawa anatuambia teeth wanaapa wakiwa wameshika bastola

Naona Mkurugenzi kashika zake quran, ama kweli ukiwa hujui mambo watu wanajichukulia sana ujiko ngoja nipunguze route za vijiwe vya kahawa tunadanganyana sana
 
"Tanzania: main religions by area of residence 2021 | Statista" Tanzania: main religions by area of residence 2021 | Statista
Nimejitahidi kitafuta habari za takwimu zenu alipokuja papa 1990,bahati mbaya sijapata ile makala,nitaisaka niitunze
 
WA TANZANIA NI WASAULIFU ILA KILICHOMTOA SIWA NI ISSUE YA SATIVA KASHINDWA FUATILIA ALITEKWA NA NANI NA MAMA HATAKI DAMU SASA MILLION 35 KUONDOKA HIVYI HIVYI NI UJINGA
CCM wamenusa kuwa mwakani Uchaguzi utakuwa mgumu kwa upande wao hasa mgombea akiwa Samia hivyo walipanga kufanya kama ilivyofanyika 2020 na TISS ndiyo ingeratibu wizi huo Siwa akawakatalia kuwa nchi itachafuka ndiyo wakina Nchimbi wakamshauri amtoe na wamweke mtu ambaye ata comply ndiyo akaletwa Mombo.
 
Pande mbili zipi wewe kafiri??

Muislam gan anajitambua aende Kwa yule checkbob kukanyaga mafuta ili apate MTOTO??

Muislam toka lini akaamini katika upako wa yesu kristo?pigweni kimpango wenu msituingize waislam kwenye drama zenu
Upo sahihi, ila mbona hakuna Muislam mwenye muonekano wa Kama hiyo Avant yako hapo. Picha na unachokieleza ni tofauti
 
Hakukudanganya amewaambia ukwey100% huyo anaapa kama kiongozi ila kipindi amemaliza mafunzo bunduki lazima
 
Mombo alikuwa master mind mkubwa 2020 wengi walifanya naye kazi
 
Mbona tunaambiwa kastaafu! Nani kakudanganya kuwa uchaguzi wa mwakani utakuwa mgumu kwa CCM? Hata wakiweka jiwe bado wanashinda!

Siku CCM ikijiondoa kwenye CCM-DOLA huu ndiyo utakuwa mwisho wake.
Usizungumze mambo usiyoyajua wewe. Unajua Siwa ana umri gani? Huyu alishastaafu siku nyingi aliitwa kwa mkataba. Ishu ya kuwa kuwa uchaguzi mwakani utakuwa mgumu siyo siri kwa wenye akili kwani kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM tangu kifo cha JPM. Hilo la kuwa hata wakiweka jiwe litashinda ndiyo mwanzo wa tofauti iliyomuondoa Siwa kwani hicho unachoita ushindi ni wizi wa kura ambao Siwa alikuwa hakubaliani nao hasa kwa kuitumia TISS kuratibu wizi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…