Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

Kama namuona vile sheikh Ponda akisoma uzi huu kwa kuurudia rudia.

Waislam wa Tanzania wanahitaji sana sana kusikilizwa na kuendelezwa. Hatuendelezi dini bali Watanzania. Mikoa yenye waislam wengi imenyimwa maendeleo kwa makusudi.
 
Punguza kunywa Gahawa! Hayo maongezi ya Mwinyi na Mufti uliyasikia ukiwa eneo gani pale Ikulu? Chuki Chuki Chuki!
Kwamba Mufti au TISS wana uwezo wa kumgomea Rais wa nchi!!!??? Ujinga mtupu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Punguza ujinga,rais siyo kila kitu,wakati wa mwinyi taarifa za ikulu zikivuja Sana,bakwata Pana wengi
 
Ulimrudia Yesu weye imekuwaje?
 
Kwa hiyo hadi leo mnadhibitiwa ba TISS?
Mkuu jaribu kuwa kama mtu aliye elimika basi?

Yaani serikali ianzishe taasisi alafu isiwe chini yake?

Bakwata ilianzishwa na Nyerere kwa masilahi ya CCM na mpaka sasa ipo kwa ajili ya kusimamia masilahi ya CCM.

Bakwata sio taasisi huru hivyo kila kinacho fanyika humo ndani ni maelekezo kutoka serikali na yeyote anaye jaribu kupinga anakutana na matatizo makubwa.

Mbona kuna taasisi kibao za kiislam zinafanya mambo ya maana kuliko hiyo bakwata ambayo inaendeshwa kwa pesa ya walipa kodi?
 
Absurd excuse...Hata kudhulumu mali za Waislam ni maslahi ya ccm?
 
Kila mtu anajieleza na kueleza aonavyo vyema.

Mungu ni zaidi ya hapo namwamini Yesu aliyenikomboa
Mbona Yesu pia kajieleza kuwa yeye ni Mtume wa Mungu au huyakubali maneno yake unasikiliza maneno ya wachungaji wa makanisa?
 
Mbona Yesu pia kajieleza kuwa yeye ni Mtume wa Mungu au huyakubali maneno yake unasikiliza maneno ya wachungaji wa makanisa?
Je inakuuma sana mimi kumuamini Yesu Kristo kwamba ni Mwana wa Mungu pia ni Bwana na Mwokozi wangu?

Mkuu.
Mambo ya Mungu ni muhimu kumuomba Roho Mtakatifu akufunulie yaliyo juu na upeo wetu
 
Ulimrudia Yesu weye imekuwaje?
Lini nilimkataa Yesu kuwa ni mtume wa Mungu ?
Siwezi kuwa muislamu mpk nikubali kuwa Yesu ni mtume wa Mungu aliyezaliwa kwa muujiza.
Labda hujanisoma vizuri tu
 
Allah kwenye Quran tukufu Surat Yunus de mafudh aya ya 7:10 amesema Ewe muislamu ukitukanwa na muislamu mwenzio tafuta kichaka chuchumaa na kunya ukimaliza Allah kwa kukufariji atatuma malaika wake kipenzi mtakatifu Jibril akutawaze.

ielewemitaa
 
Uzi wa Taarifa tu lakini umegeuka vita vya wafia Yesu na Muhammad !

Tulitegemea mjikite kwenye hoja , lakini meanza itikadi zenu , Siku nyingine hatutawaletea mambo kama haya ili mkose habari .

Vijana wa Jf mnatia aibu sana
 
Je inakuuma sana mimi kumuamini Yesu Kristo kwamba ni Mwana wa Mungu pia ni Bwana na Mwokozi wangu?

Mkuu.
Mambo ya Mungu ni muhimu kumuomba Roho Mtakatifu akufunulie yaliyo juu na upeo wetu

Mimi siumii ila ninakumbusha tu humo unamokosea, .Huo ni wajibu wangu . Roho Mtakatifu sijui yupo kwani kuna madhehebu ya makanisa tofauti zaidi ya 40 elfu. Na kila moja linadai kuongozwa na Roho Mtakatifu na kila moja linaamini kivyake.Sasa sijui Roho Mtakatifu wa kanisa lipi Ndiye mwenyewe.
 
Allah kwenye Quran tukufu Surat Yunus de mafudh aya ya 7:10 amesema Ewe muislamu ukitukanwa na muislamu mwenzio tafuta kichaka chuchumaa na kunya ukimaliza Allah kwa kukufariji atatuma malaika wake kipenzi mtakatifu Jibril akutawaze.

ielewemitaa

Sura hiyo ,soma wewe na Nabii wako Tito 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…