Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Watu wanapigana uchawi wa vitabu.. kila ukiamka asubuhi unajisikia unaumwaumwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Labda TU hawajatambua Nguvu walinayo !Hili linaweza kuwa kweli" wataweka Rais wamtakaye" hawa jamaa tuna wa understimate ila wana nguvu sana pesa na akili. Waislam mimi nawakubali sana kwenye mambo yao.
Mtu wa Mungusasa nijibu haya maswali tafadhali
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?
Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi
Mwinyi alitaka kuvunja 1990s,mufti wa wakati huo hemed bin jumaa,akamwambia 'inaelekea Nyerere hakukwambia bakwata ni nini!'..mwinyi akawaambia waislam waanzishe taasisi zingine,uchaguzi wa mufti bakwata hujaa maafisa vipenyo ili akalie kiti anayeaminika, waislam ukiwaacha wakawa na umoja na bila kudhibitiwa wataiendesha nchi,wataweka rais wamtakae nk..ndiyo Imani ya 'wenyewe'
Kama namuona vile sheikh Ponda akisoma uzi huu kwa kuurudia rudia.
Waislam wa Tanzania wanahitaji sana sana kusikilizwa na kuendelezwa. Hatuendelezi dini bali Watanzania. Mikoa yenye waislam wengi imenyimwa maendeleo kwa makusudi.
Mbona Yesu pia kajieleza kuwa yeye ni Mtume wa Mungu au huyakubali maneno yake unasikiliza maneno ya wachungaji wa makanisa?
Kumbe sio siasa tu na Neno la Mungu pia umejazwaMtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.
Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.
Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia
Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 7:22
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Mathayo 7:23
Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.
Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.
Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.
Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.
Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.
Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.
Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)
Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.
Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.
Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.
Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.
Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa
BossOna akili za kipumbafu,hiyo mikoa imenyimwa maendeleo kwa sababu gani?na nani anawanyima maendeleo?
Una uelewa mdogo mno na kwa maandiko yako ni wazi kuwa huna kazi ya kufanya (una stress za maisha)Boss
Inawezekana upumbavu wangu una akili kuliko utimamu wako.
Nchi hii imejaa siri nyingi sana.
Tunajinasibu siyo wabaguzi lakini ukweli ni kwamba tunabaguana kiimani.
Leo utasikia sasa zamu ya Mkristo, mara utasikia na sisi Walutheri ni zamu yetu, kesho utasikia sasa ni zamu ya Muislam na kadhalika.
Nilichokisema kwenye post uliyoiquote ni kweli na siongezi neno hata moja kwa sababu badala ya kutaka kufahamu zaidi umeanza na mapuuza. Hivyo tuendelee kulaaniana na kutafutiana majina ya hovyo lakimi hoja imeshatua masikioni mwako na itaendelea kukaa humo akilini
ShukranUna uelewa mdogo mno na kwa maandiko yako ni wazi kuwa huna kazi ya kufanya (una stress za maisha)
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda kujadili mambo yasiyo na msingi (udini)
Mtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.
Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.
Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia
Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 7:22
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Mathayo 7:23
Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.
Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.
Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.
Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.
Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.
Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.
Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)
Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.
Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.
Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.
Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.
Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa
Mtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.
Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.
Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia
Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 7:22
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Mathayo 7:23
Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.
Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.
Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.
Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.
Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.
Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.
Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)
Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.
Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.
Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.
Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.
Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa
Yesu ni zaidi ya mitume,ni Mungu katika mwili,hili suala sio la levo yako achana nalo tujadili bakwata.