Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

Watu wanapigana uchawi wa vitabu.. kila ukiamka asubuhi unajisikia unaumwaumwa tu
 
Hili linaweza kuwa kweli" wataweka Rais wamtakaye" hawa jamaa tuna wa understimate ila wana nguvu sana pesa na akili. Waislam mimi nawakubali sana kwenye mambo yao.
...Labda TU hawajatambua Nguvu walinayo !
Wangeweza kuipiga Chini BAKWATA...Kwa kuanza na kulishikia Bango lile la Kwa Nini Wao wamesheherekea Eid Siku Moja BAADA ya Nchi nyingine za Afrika Mashariki kufanya hivyo!
Naona limeishia kimya kimya TU!
 
sasa nijibu haya maswali tafadhali

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi
Mtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.

Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.

Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia

Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 7:22
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

Mathayo 7:23

Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.

Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.

Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.

Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.

Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.

Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.

Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)

Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.

Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.

Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.

Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.

Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa
 
Mwinyi alitaka kuvunja 1990s,mufti wa wakati huo hemed bin jumaa,akamwambia 'inaelekea Nyerere hakukwambia bakwata ni nini!'..mwinyi akawaambia waislam waanzishe taasisi zingine,uchaguzi wa mufti bakwata hujaa maafisa vipenyo ili akalie kiti anayeaminika, waislam ukiwaacha wakawa na umoja na bila kudhibitiwa wataiendesha nchi,wataweka rais wamtakae nk..ndiyo Imani ya 'wenyewe'

Wenye akili waliona mbali,mana uislam umejaa ubaguzi na chuki kali hata baina yao,refer janjaweed na black muslim genocide huko sudani.
 
Kama namuona vile sheikh Ponda akisoma uzi huu kwa kuurudia rudia.

Waislam wa Tanzania wanahitaji sana sana kusikilizwa na kuendelezwa. Hatuendelezi dini bali Watanzania. Mikoa yenye waislam wengi imenyimwa maendeleo kwa makusudi.

Ona akili za kipumbafu,hiyo mikoa imenyimwa maendeleo kwa sababu gani?na nani anawanyima maendeleo?
 
Mtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.

Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.

Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia

Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 7:22

Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

Mathayo 7:23

Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.

Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.

Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.

Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.

Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.

Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.

Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)

Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.

Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.

Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.

Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.

Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa
Kumbe sio siasa tu na Neno la Mungu pia umejazwa
 
Ona akili za kipumbafu,hiyo mikoa imenyimwa maendeleo kwa sababu gani?na nani anawanyima maendeleo?
Boss
Inawezekana upumbavu wangu una akili kuliko utimamu wako.

Nchi hii imejaa siri nyingi sana.
Tunajinasibu siyo wabaguzi lakini ukweli ni kwamba tunabaguana kiimani.

Leo utasikia sasa zamu ya Mkristo, mara utasikia na sisi Walutheri ni zamu yetu, kesho utasikia sasa ni zamu ya Muislam na kadhalika.

Nilichokisema kwenye post uliyoiquote ni kweli na siongezi neno hata moja kwa sababu badala ya kutaka kufahamu zaidi umeanza na mapuuza. Hivyo tuendelee kulaaniana na kutafutiana majina ya hovyo lakimi hoja imeshatua masikioni mwako na itaendelea kukaa humo akilini
 
Una uelewa mdogo mno na kwa maandiko yako ni wazi kuwa huna kazi ya kufanya (una stress za maisha)
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda kujadili mambo yasiyo na msingi (udini)
 
Shukran
Kama una la kuongeza ruksa.

Kama hauna ni vyema ukawa mtulivu kwenye kona yako ya kuamini kujadili tatizo ni tatizo
 
Mtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.

Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.

Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia

Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 7:22

Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

Mathayo 7:23

Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.

Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.

Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.

Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.

Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.

Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.

Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)

Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.

Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.

Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.

Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.

Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa

ROHO MTAKATIFU

Sehemu pekee katika Biblia alipotajwa Roho Mtakatifu ni katika Yohana 14:26;

“Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia. “

Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita?

Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu (Yohana 14:26)

Yesu alisema katika Yohana 16:7-8. “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”

Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.

Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu:

sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini? Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
Mtu wa Mungu
Nitafanya kuandika kile kinachonijia kwenye fahamu yangu.

Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi yake ya Tatu. Tofauti ya Mungu na sisi viumbe wake ni kwamba UKUU wake na namna alivyo ni zaidi ya fahamu zetu. Tunaweza kumjadili Mungu kwa maisha yetu yote na tusiweze kumaliza sifa zake, utakatifu wake na hata uwezo wake.

Neno Wakristo halikuwepo kabla, bali baada ya Kupaa kwa Yesu Mawinguni wanafunzi wake walianza kueneza injili na kusanyiko la waumini pale Antiokia ndilo la kwanza kuitwa Wakristo
Matendo ya Mitume 11:26
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Kuhusu nani ambaye anastahili na nani hastahili jibu lipo katika mistari hii ya Biblia

Mathayo 7:21
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 7:22

Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

Mathayo 7:23

Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

ROHO MTAKATIFU
Ni somo pana sana. Siyo kila muumini au kaasisi anaweza kufundisha undani wa Roho wa Mungu bila kuvuviwa naye.

Mungu anavyowasiliana na mtu si kama tunavyoongea mimi na wewe. Ameweka HIYARI (ambayo ni Nia au conset kwa kimombo) ndani ya kila mtu ili ajipime na kujiweka mahala panapostahili. Mahakama zote duniani hutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa aliyekusudia kutenda kosa endapo itathibitika alinuia ama kukusudia kutenda kosa analotuhumiwa. Ndiyo maana kuna hukumu za makosa bila kukusudia na hukumu kamili baada ya uthibitisho pasina shaka kuwa mtuhumiwa alikusudia kosa. Hii nimekupa mfano wa namna tunavyoweza kuifahamu Kweli na Utakatifu wa Mungu.

Kwa Mungu hakuna neno bahati mbaya, kwa sababu ameweka wazi kwamba kwake hakuna kumkaribia ukiwa na kosa lolote kwa kujua na kutokujua ndo maana anasema tubuni atusamehe dhambi zetu za kutenda ama za kutotimiza wajibu
Waebrania 9:7
Lakini katika hema hiyo ya pili kuhani mkuu huingia peke yake, mara moja kila mwaka; wala si pasipo damu, atoayo kwa ajili ya nafsi yake na kwa dhambi za kutokujua za hao watu.

Roho Mtakatifu hufungua fahamu zetu tuweze kufahamu kila jambo litupalaso kufahamu. Bali watu wengi wanajiita Wakristo ilihali nadhiri zao ndani zinajua kuwa wapo mbali na Mungu kwa imani na matendo yao. Duniani hapa kuna wakristo wachache mno kuliko unavyodhani. Naweza mimi leo nikajiita mlokole lakini ni kumbe ni muongo, mwivi, mzinzi na kadhalika. Matendo yetu yatokanayo na Imani na kujazwa na Roho Mtakatifu ndiyo yanayoakisi utakatifu unaopaswa kumkaribia Mungu.

Roho Mtakatifu anaweza kabisa kuwa ndani yako na ndani yangu lakini anapoongea na wewe mimi sisikii hadi wewe uniambie alichokuambia. Neno YWHN ambalo ndilo jina la Mungu (wengi hutamka YAHWEN) ni neno kama kuvuta na kutoa pumzi. Hivyo Mungu amekaa kwenye pumzi zetu na kila mtu hutoa na kuvuta pumzi kwa namna yake isiyosikiwa na mtu mwingine.

Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu katika nafsi ya Tatu ndiye anayetufahamisha na kututakasa kwa ajili ya kila jambo ambalo Mungu Baba anataka tuwe ama tulijue. Ni Mpole, Ana Upendo usiopimika na ndiye anayetenda kazi zote unazoziona zimetendwa na Mungu.

Yesu Kristo ndiye Neno la Mungu. (Hii ni somo pana sana)

Kila Neno la Biblia limepimwa na kuwekwa kwa kusudio la kufundisha na kutoa msaada katika wakati sahihi uliopangwa. Unaweza ukawa unapitia hali fulani na ukapata Neno la kukuondoa kwenye hali hiyo, pia neno hilo hilo lililokuondoa kwenye hali fulani linaweza likatumika kuweka maana kwa mtu mwingine kumuonya asifanye jambo fulani.

Hivyo Neno la Mungu ni sheria yake ambapo bila Roho Mtakatifu hakuna anayeweza kuitafsiri ikabeba maana. Hata mimi siwezi kujifaragua kwamba nina utimilifu wa kulijua Neno la Mungu ikiwa sina Roho Mtakafifu ndani yangu.

Roho Mtakatifu hukaa ndani ya mtu na humpa mafunuo kupitia Neno la Mungu.

Kunena kwa lugha ni sehemu ya kububujika Roho lakini siyo kila anayenena kwa lugha ana Roho Mtakatifu.

Gavana nimekujibu kwa namna ya kibinadamu, sijui kama ni Roho Mtakatifu ameniongoza au la, lakini sikuwahi kabla kunena kama nilivyoandika hivi leo hapa

1 Wafalme 22:22

“ ‘Kwa njia gani? BWANA akauliza, “ ‘Nitatoka na kuwa pepo wa uongo katika vinywa vya manabii wake wote,’ akasema. “ ‘Utafanikiwa kumshawishi,’ asema BWANA, ‘Nenda ukafanye.

1 Wafalme 22:23

“Basi sasa BWANA ametia pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa wote;
 
Yesu ni zaidi ya mitume,ni Mungu katika mwili,hili suala sio la levo yako achana nalo tujadili bakwata.

Kuna aya nyingi katika Agano Jipya zinazounga mkono utume/unabii wa Yesu. Zifuatazo ni aya chache tu miongoni mwa aya hizo:

katika Mathayo 21:11, watu wa zama za Yesu wamerekodiwa wakimchukulia Yesu kuwa ni mtume:

“Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.”

Katika Marko, 6:4, imeelezwa kuwa Yesu amejitaja yeye mwenyewe kuwa ni mtume: “Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yakemwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani kwake.”

Katika aya zifuatazo, Yesu anachukuliwa kuwa ametumwa akiwa ni mjumbe.

Katika Mathayo 10:40, imedaiwa Yesu amesema kuwa:

“Awapokee ninyi, anipokee mimi, naye anipokeaye mimi, ampokea aliyenituma.”

Katika Yohana 17:3, pia, Yesu alinukuliwa akisema:

“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma
 
Yesu ni zaidi ya mitume,ni Mungu katika mwili,hili suala sio la levo yako achana nalo tujadili bakwata.

Tukusikilize wewe au Bwana Yesu mwenyewe ??

Kuna vifungu vingi katika Agano Jipya vinavyokana uungu waYesu. Kwa nfano, katika Mathayo 19:17, Yesu alimjibu yule
aliyemtambulisha yeye kama ni “Mwalimu mwema”

kwa kusema

“Akawaambia, Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni
mmoja...”

Kama Yesu amekataa kuitwa “mwema”, na ameeleza kuwani mungu pekee ndiye aliyemwema wa kweli, naye kwa uwazi kabisa ameashiria kuwa yeye si Mungu.

Katika Yohana 14:28, yesu alikuwa anasema:

“Mlisikia ya kwamba mimi niliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahia kwa sababu naenda kwa Baba; kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.”

Kwa kusema “Baba” ni mkuu kuliko yeye, Yesu amejitenganisha na Mungu.

Pia katika Yohana 20:17, Yesu alimwambia Mariam Magdalene awaambie wafuasi zake: "Yesu akawaambia, Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.”

Yesu amemwashiria Mungu kuwa ni “Baba yangu na Baba yenu” amesisitiza zaidi, tofauti yake na Mungu.

Zaidi ya hayo, Yesu amemwashiria Mungu kuwa ni “Mungu wake”, hakutoa nafasi kwa yoyote kudai kiujanja ujanja kuwa Yeye Yesu ndiye Mungu.

Ingawa katika baadhi ya maandiko ya Paulo, yaliyochukuliwa na kanisa kuwa ni matakatifu, Yesu anaonyeshwa kuwa ni “mtu” ametofautiana na kutengana na Mungu.

Katika 1 Timotheo 2:5, Paulo anaandika “Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu.”
 
Yesu ni zaidi ya mitume,ni Mungu katika mwili,hili suala sio la levo yako achana nalo tujadili bakwata.

121241571_817248922415257_3932205569220230057_n.jpg
 
Yesu ni zaidi ya mitume,ni Mungu katika mwili,hili suala sio la levo yako achana nalo tujadili bakwata.

15 BIG REASONS WHY JESUS IS NOT GOD INCLUDING 90 BIBLICAL VERSES THAT JESUS IS NOT GOD:

• Matthew 24:36

• No one knows about that day or hour, not even the Son, but the Father only.

• Here Jesus makes a distinction between what he knows and what the Father knows.

• Matthew 26:39

My Father, if it is possible, may this cup be taken from me, yet not as I will, but as Thou will.

• Jesus’ will is likewise autonomous from God’s Will. Jesus is seeking acquiescence to God’s will.

• John 5:26

• For as the Father has life in Himself, so he has granted the Son to have life in himself.

• Jesus received his life from God. God received his life from no one. He is eternally self-existent.

• John 5:30

• By myself, I can do nothing: I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who has sent me.

• Jesus says, “by myself, I can do nothing.” This indicates that Jesus is relying upon his own relationship with God. He is not trying to “please myself” but rather is seeking to “please the one who sent me.”

• John 5:19

• The Son can do nothing by himself; he can do only what he sees the Father doing, because whatever the Father does, the Son does also.

• Jesus declares that he is following a pattern laid down by God. He is expressing obedience to God.

• Mark 10:18

• Why do you call me good? No one is good, except God alone.

• Here Jesus emphatically makes a distinction between himself and God.

• John 14:28

• The Father is greater than I.

This is another strong statement that makes a distinction between Jesus and God.

8. Matthew 6:9

Our Father, which art in Heaven.

He didn’t pray, Our Father, which art standing right here!”

9. Matthew 27:46

My God, My God, why hast thou forsaken me?

Inconceivable if he is God the Creator.

10. John 17:21-23

. . .that all of them may be one, Father, just as you are in me and I am in you. May they also be in us so that the world may believe that you have sent me. . ..that they may be one as we are one: I in them and you in me.

In this prayer Jesus defines the term “to be one.” It is clearly accomplished through the relationship of two autonomous beings. Christian believers are to model their relationship (to become one) after the relationship of God and Christ (as God and Christ are one). Notice that “to be one” does not mean to be “one and the same.”

11. 1 Corinthians 15:27-28

For he "has put everything under his feet." Now when it says that "everything" has been put under him, it is clear that this does not include God himself, who put everything under Christ. When he has done this, then the Son himself will be made subject to him who put everything under him, so that God may be all in all.

Paul declares that God put everything under Christ, except God himself. Instead God rules all things through Christ. (remember: “through him all things were made.”)

12. Hebrews 1:3

The Son is the radiance of God’s glory and the exact representation of his being.

Jesus is the exact representation of his being. I send my representative to Congress. He is not me, myself. He is my representative.

13. Hebrews 4:15 (compared with James 1:13)

For we do not have a high priest who is unable to sympathize with our weaknesses, but we have one who has been tempted in every way, just as we are—yet without sin.

Jesus has been tempted in every way, just as we are, yet he never sinned. See

James 1:13: When tempted, no one should say, God is tempting me. ForGod cannot be tempted by evil, nor does he tempt.

Jesus was tempted in every way, but God cannot be tempted. This is why Jesus said, “don’t call me good, none are good, only God.”

14. Hebrews 5:7-9

During the days of Jesus' life on earth, he offered up prayers and petitions with loud cries and tears to the one who could save him from death, and he was heard because of his reverent submission. Although he was a son,he learned obedience from what he suffered and, once made perfect, he became the source of eternal salvation for all who obey him

Jesus had to walk a course of faith and obedience in order to achieve perfection. By achieving perfection, Jesus “became” leader of his people.

15. Jesus is God yet he says he has brothers, sisters and mother below ! ! !
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇

In Mark 3:35, Jesus said: "Whoever does God's will is my brother and sister and mother "

Can God have brothers, sisters and mother?

God (Matthew 12:18
 
Yesu ni zaidi ya mitume,ni Mungu katika mwili,hili suala sio la levo yako achana nalo tujadili bakwata.

Mistari ifuatayo inaeleza kwa uwazi kwamba hakuna mtu aliyemwona Mungu.

Yohana 1:18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote.

Kutoka 33:20 Akasema, Huwezi kuniona uso wangu, kwa maana hakuna mtu atakayeniona akaishi.

Kwa hiyo aya hizo zinaonyesha wazi kwamba hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote, na kwamba hakuna mtu anayeweza kuuona uso wake, na kama watamwona basi watakufa.

Hata hivyo, kuna mistari kadhaa katika Biblia inayoonyesha wanadamu wameuona USO wa Mungu na hawajafa, ama Wakristo wanakubali mistari hiyo kuwa inapingana na mistari niliyonukuu, au wanakubali kwamba Biblia inapodai kwamba mtu wameuona uso wa Mungu, au wamemwona Mungu, kimsingi inamaanisha wameuona utukufu wa Mungu na nguvu za Mungu, sio wao kumtazama Mungu kihalisi.

Hata hivyo, ikiwa Yesu kweli ni Mungu, basi ni lazima mtu aulize ni jinsi gani watu wangeweza kumwona na kuishi?

Au Yesu alikuja akiwa amejificha?

Ukweli ni kwamba Yesu hawezi kuwa Mungu, kwa maana hakuna mwanadamu ambaye amemwona Mungu, na mwanadamu hawezi kuuona uso wa Mungu, kwani kama wangeuona wangekufa.
 
BAKWATA ni yenu waislam, mnao uwezo wa kuifumua yote na kuunda upya kadiri mnvyotaka nyinyi wenyewe. Msitafute pa kutokea kwa visingizio vya Nyerere
 
Back
Top Bottom