Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chamašš
====
Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Bi. Ummy Ally Mwalimu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais - Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Pia soma
~ Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
~ Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

Last edited: